store

  1. Store Manager at Power Providers February 2025

    Power Providers is seeking an individual to take responsibility for carrying out the following tasks. Key Duties & Responsibilities: 1. Being responsible for recruitment, management, supervision and training of department employees 2. Being responsible for maintaining the organization...
  2. Msaada kupata App bora ndani ya App Store zinazopatikana pia Playstore

    Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa. Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app...
  3. NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  4. SOFTWARE Nimeikuta Play Store: Inaweza kuisaidia Jamii.

    Kuna App nimeikuta Play Store inaitwa e-livestock Auction, inatoa huduma za kutangaza bidhaa za Mifugo na pia inakupa furusa ya kumpata Muuzaji Kwa njia ya Simu pia inakuonyesha umbali alipo na muda unaweza kutumia kumfikia. Naona Masharti ya kujiunga ni ama kutumia namba ya simu ya mkononi ama...
  5. Kwa Dar es salaam. Ni wapi naweza kwenda kusoma kozi ya Store keeping japo Nipatie Certificate tu.

    Nitashukuru zaidi kama utaniambia na Bei ya hiyo kozi na muda wake hadi kozi kuisha. Natanguliza shukrani
  6. Wale wa iPhone 16 tupeane Apps mbalimbali zinazopatikana bila kulipia Apple store

    Tupeane app mbali mbali ambazo n ngumu kupata bure apple store 1.Youtube downloader 2.Music 3. nk nb: Sina iphone 16 waungwana msije mkajaa makasiriko
  7. M

    Nimesahau password ya app store nofanyaje

    Wakuu nashindwa download application baadhi baada ya mim kusahau password ya app store nifanyaje ili niweze kupata password
  8. Msaada wa kurestore App store

    Wakuu nimepoteza simu ninayotumia sasa nina kimeo cha Oppo A57 imebidi kinistiri kwa muda lakini sioni app store ili niweze kuziupdate apps kama Whattsapp na mimi si mtundu kwenye angle hiyo naomba muongozo.
  9. K

    KERO NSSF wametoa application yao kwenye App store

    Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo. Kulikoni, kwa nini itolewe, ilkua inaleta transparency kwa wanachama.
  10. W

    Epuka kupakua Application nje ya 'Play Store' na 'App Store'

    Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store' Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store: - Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu - Kusababisha kudukuliwa kwa vifaa vyako Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store...
  11. AzamTV Max wanakiuka taratibu za Play Store katika malipo

    App za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam ukitaka kulipia wanakupeleka site isiyoeleweka ukajaze details zako zote huko hii sio sawa. Hata...
  12. Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  13. Nina uzoefu wa miaka minne as a Store keeper, stock controller, section controller. Natafuta kazi

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam. Umri = 31 Elimu = Form four Uraia = Mtanzania Uzoefu = Miaka minne Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
  14. Store inahitajika sm 18 to 25

    Wakuu habari. Store ndogo sqm 18 hadi sqm 25 inahitajika iwepo maeneo ya kariakoo, Magomeni au Keko kwa mwenye kuweza kufahamu au kuniconnect tafadhali nicheck inbox.
  15. Ntafuta kazi ya store keeping

    Habari mwenye connectionya kazi ya store au inayoendana na cheti cha records anichek,tusaidiane wakuu,kipoozo kipo
  16. Aqurium store

    Pendezesha sebule yako, office yako, restaurant yako chumbani kwako na geto lako kwa wewe bachelor na mpenzi wa samaki wa mapambo kwa aqurium za kisasa zaid kutoka kelvin aqurium store. Tunatengeneza aqurium za aina zote na pia tunapokea oder za designed kutoka kwa mteja wetu namna ya...
  17. Kamata kamata ya mkaa na wauza mkaa kwenye stoo za wauza mkaa mjini ni uonevu

    Habari zenu wanajukwaa, Aisee tokea jana pande za Goba jamaa wa maliasili wana operation kazi ya kutaifisha mkaa kwenye store za mikaa around Goba. Jana wikua makongo road na Goba center leo wapo Madale road pande za Marga. Aisee hatakama ni sheria hii ni too much jamaa wanataka vibali vya...
  18. TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

    Mwaka huu kazi kazi. Tukiwa kwenye majonzi ya kodi ya nyumba hasa kwa wale wanaoishi kwenye maghorofa, TRA inawataka wafanyabiashara kusajili store zenu.
  19. Natoa huduma ya kuuza vitu kwa wale walio na vitu stoo wanataka kuuza au kitu chochote unataka kukiuza

    Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kinavosema. Kuna wale watu humu ndani ambao wana mali zao na vitu vyao wangependa kuuza ili wabadirishe wanunue vingine, au wangependa kuuza ili waviondoe tu visijaze nafasi au havina matumizi tena au wanashida ya kifedha, basi karibu nikisaidie kuviuza...
  20. Room Moja Jiko na store

    Wakubwa katika bwana nahitaji good desing and very good economy ambaye anaweza kunipa hiyo mambo kama jaribio akiweza kuitimiza within budget nampa kazi nyingine ila awe mkweli kwangu uongo sijui siasa sijui ukanjanja aisee sitaki. nahitaji a good fundi ambaye anaweza jenga a good house ya one...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…