stori

Kabir Stori (6 April 1942 – 4 April 2006) (Pashto: کبیر ستوری‎) was a Pashtun nationalist, poet, and writer from Kunar Province of Afghanistan. He was chairman of the Pashtoons Social Democratic Party, a political party that he founded, until his death.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

    Karibuni wanajukwaa
  2. Tupia stori ya kijasusi (PDF).

    Kama title inavyojieleza hapo juu, twende kwenye mada hapo juu. Nimesoma moja inaitwa CAPTURE OR KILL MISSION. Kama movie ..
  3. Hivi ni kweli watu wana rogwa au ni stori tu tom and jerry

    Stori ni nyingi hadi we mwenyewe unaweza kuhisi umerogwa kweli. Ipi ni stori ya ukweli ya uchawi wa kurogana na mambo ya kutupiana laana Karibuni
  4. Realmamy ahsante kwa hii dinner date. Nimeenjoy sana stori na wewe

    realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status. PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
  5. Hot Stori: "KITOTO CHA AFU MBILI"

    KITOTO CHA AFU MBILI Mtunzi: Robert Heriel #+255693322300 Age. 18+ EPISODE 01 "Unafikiria nini Mpenzi" " Mmmh! Sio Jambo kubwa!" " Upo mbali Sana. Kama sio Jambo kubwa litakuwa Jambo gani " " Bado natafakari mtunzi wa simulizi ya mapenzi yetu. Natamani...
  6. M

    STORI YANGU; Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na Mama yake!

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  7. R

    Hii hapa true stori ya lile sanduku la agano la bwana; the misery unsolved

    Ilikuwa jioni ya tarehe 9 mwezi Av (tano) mwaka 3175 kwa kalenda ya Kiebrania (Hebrew Calendar) sawa na mwezi July au August mwaka 587 kabla ya Kristo kwa kalenda yetu. Mkuu wa majeshi ya jeshi kubwa kuliko yote duniani kwa wakati huo aitwaye Nebuzaradani kutoka Babeli, alikuwa ameingia ndani...
  8. Stori ya jinsi Sativa alivyotekwa yatua kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza

    Wakuu, Inaonekana kama Sativa is here to stay. Siku ya leo, Gazeti la The Guardian kutoka Uingeereza limetoa bandiko linalohusu masuala ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini Edgar Mwakalebela maarufu alitajwa kama muhanga wa matukio ya utekaji yanayoendelea nchini ambapo pia alipata...
  9. Stori: Baba masikini hadi kuwa baba tajiri kwa kusomesha watoto wake

    Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua. Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
  10. STORI FUPI: Jinsi ya kutafuta furaha yako

    STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO. Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia akamwambia kuwa “Sina furaha na maisha yangu nipo na huzuni, yani kiufupi maisha yangu hayana maana...
  11. Nimeikumbuka hii stori

    First part ( 1) **** I'm a church boy if you ask, you know what is funny about it all, Ladies have taken their allegations to the next level, calling nice guys simp, but are they? Hey kuna this girl, I refer her a girl because I don't think I love her anyway. Is my story worth telling, I say...
  12. Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

    Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi; 1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina...
  13. Hadithi ya Maprofesa ndani ya ndege

    Stori kidogo Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna...
  14. Ni kweli Allys anamfanyia fitna Katarama au ni stori ya vijiweni?

    Yani Katarama ikotoka kesi hii inakuja kesi nyingine, kama sasa hivi wana soo nyingine huko LATRA. sasa wahuni mtaani wanasema allys roho inamuuma maana competition ya Katarama ni next level ndio maana anamfanyia majungu na fitna.
  15. Stori za mchongo/chai huku MMU za nini sasa?

    Wakuu, Mtu umechoka, unaingia jukwaa la MMU ili angalau upate auheni na kujifariji baada ya uchovu wa siku, lahaulaa!!! Unakuta story yenye tittle nzuri kabisa kumbe ni chaiii.....daah inakera big time yaani...achenii Wengi tuliopo kwenye jukwaa hili tuna malengo tofauti Kama; kujifunza...
  16. Mwambieni huyo crush wangu asiendelee na hiyo stori yake inaniumiza!

    Ni heri angekaa kimya tu watu tumesha mdondokea ye anakuja na stori zake za akina H!! why,how and when...? naumia roho huku machozi yananibubujika,nimeshindwa kula na stori yake sijasoma yote nilikuwa natetemeka almanusra nizimie!. Nashindwa hata kuandika vyema ila asikilize huu wimbo wa...
  17. Idd Makengo anatunga stori na kuwapumbaza watu hasa wanawake

    Ukisoma visa ya Idd Makengo, utagundua 99% ni visa vya kutunga. Yaani anatengeneza mtiririko wa matukio bandia ili apate likes na comments akuze page yake. Sasa kwenye comments unakutana na wanawake hata 2000. Wanakoment kwa hisia, kumbe ni hadithi za kutunga.
  18. Je, ni vizuri kumpa mpenzi wako mpya stori zako za nyuma za mahusiano yako?

    Asalam alyekum wakuu. Eti Kwa mfano umeachana na mchumba wako (kwa sababu yoyote ile) uliyekuwa unaishi naye na akaondoka akaenda mbali huko je kama utaendelea kuishi nyumba ile ile na ukapata mpenzi mpya. Je, ni busara kumuweka wazi mpenzi mpya juu ya previous relationship au kiume unatakiwa...
  19. Wadogo zangu ngoja niwape stori fulani hivi kwenye muziki wa HipHop nchini Marekani

    Miaka ya 2000 kulikuwa na wanamuziki wanne wenye majina makubwa ambao hao waliamua kuwaita kwa jina la Big Four yani Jay Z, Nelly, DMX na Eminem. Huyu jamaa unayemuona kwenye picha aliibuka tu na kuanza kupiga kelele mitaani na Mixtape yake fulani hivi. Hakuna yeyote kwenye hii Big Four...
  20. Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni, Popo Bawa kaonekana mbagala, stori hizi zimefia wapi ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. Shule kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…