Kabir Stori (6 April 1942 – 4 April 2006) (Pashto: کبیر ستوری) was a Pashtun nationalist, poet, and writer from Kunar Province of Afghanistan. He was chairman of the Pashtoons Social Democratic Party, a political party that he founded, until his death.
Habari wana jamvi!
Kwangu mimi binafsi hili swala la kuweza kufunguka mahusiano ya kiundani ya madem zangu naowagonga kwa shangazi au mama mdogo ni ngumu sana.
Siku za hivi karibuni nilienda kwa mshkaji wangu flani hivi tunamwitaga Mesi, anaishi nyumbani kwa shangazi yake ambae ameolewa na...
Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe.
Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua.
Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni.
Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali.
Tumuombee Rais wetu...
Leo nimekumbuka hiki kisa, nikaona weekend hii ni-share na Wanajamvi wenzangu, sijajua kama hapa ni jukwaa sahihi au la!
Miaka mingi iliyopita nilikuwa nchi za watu kimasomo, wakati huo nikiwa bado kijana mdogo. Nilipata nafasi hiyo kwa sababu ya kufahamiana na mwalimu mmoja aliyekuja Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.