Nimeipata WhatsApp hii, Je ni kweli? Inadai kuwa ipo dawa mpya inayojulikana kama 'strawberry quick' ambayo imekuwa ikitolewa kwa kificho kwa wanafunzi kwa malengo ambayo hayajafahamika hadi sasa. Taarifa inadai zaidi kuwa Watoto wanakula wakifikiri kwamba ni peremende na wanakimbizwa hospitali...