Wakuu habarini za saa hizi..
Wakuu kama mada inavojieleza hapo juu, naomba mwenye uelewa na American psychological Association ( A. P . A) style, anielezee kidogo.
Na ikiwezekana anipe na format namna ya kuiandika.
Nimejaribu kuangalia refferences mbalimbali kupitia Google scholar la bado...
Tanzania kama nchi hatupigi hatua yoyote kwenye soka la upinzani. Si kwa Afrika Mashariki(CECAFA), sio Afrika(CAF), wala dunia(FIFA)
Tunazidi kujidanganya kua pengine kesho mambo yatakua mazuri, sijui tupeane muda hususan kuwapa muda makocha na blahblah kibao
Mwaka hadi mwaka viwango(quality)...
Binafs nimekua nikipigilia pamba kwa muda mrefu sn Ila nataka ni punguze miondoko ya jeans na kujikita zaid kwenye style hii kwaajil ya kuweka status yangu vizuri zaidi
Yaani Mtangulizi wako Hayati Rais Dkt. Magufuli alianzisha tabia ya Kuvizia Wasanii wenye Majina makubwa nchini wakiwa 'on the Stage' wakitumbuiza na Kuwapigia Simu Kuwapongeza nawe Jana umeamua upite mule mule kwa Kumpigia Msanii wa Kike Nandy akiwa anatumbuiza Mkoani Dodoma na Kumpongeza pia...
Ngoma aliyopiga Mhe Rais kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari imewachanganya wachezaji na kila mmoja anacheza kwa style yake Kama ifuatavyo;
1. Gerson Msigwa alileta barua ndeefu inayotamka vyombo vilivyofungiwa vifunguliwe, Mkurugenzi Ikulu
2. Baadaye kidogo Dr. Abbass akaja na kauli kwamba...
Legacy ya JPM itadumu sana, so far tangu kuzaliwa Tanganyika Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere ndo na Hayati John Pombe Joseph Magufuli ndo maraisi pekee ambao watakumbukwa sana katika historia ya nchi hii. Pamoja na sababu nyingi ikiwemo kutetea wanyonge na kuataka Tanzania isonge mbele...
Unakuta Kundi Kubwa la Watu ( Waombolezaji ) muda wote tu wakiwa Msibani au katika Uwanja wote huwaoni Wakilia tena Macho yao huwa ni Makavu kabisa, lakini wakiona tu Camera za TBC1, ITV na Azam tv zinawamulika ghafla utawaona Wakilia kwa Uchungu na Camera zikiwahama tu Wananyamaza, wanafuta...
Kupata kiwanja cha kujenga nyumba hasa katika prime area ni changamoto kubwa kwa sisi tunao safiri kuelekea uchumi wa kati. Unakuta pango la mwezi unapokaa ni 350, 000, ukipiga hesabu kwa miaka miwili unaona ni kheri ujenge ya kwako.
Umepata kiwanja kwa milioni 20. Bahati nzuri ulikua na...
Nywele zangu ni natural na huwa Napenda kuosha saluni na kuzibodrai huko huko.
Kwa sasa najaribu kuchana aina hii ya style lakini inagoma sijui hawa walitumia nini kuziweka kama zilivyoonyeshwa hapa chini. bushmamy
Ni changamoto kubwa katika malezi hasa kwa sisi ambao kuna visenti kidogo huwa tunajikuta tunataka kulea watoto kizungu sana na kuwa na visingizio kama "sitaki mtoto wangu apitie shida nilizopitia" na kujikuta tunalea watoto ndivyo sivyo
1. Mwanzoni mtoto wangu alikuwa anasoma wanatoka saa 11...
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....
1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4...
Hellow Football Fans..!!
Kwenye soka kuna kuna aina mbalimbali ya vionjo vinavyochochea burudani zaidi.. Kuna style nyingi za kushangilia magoli pale mfungaji anapofunga na kushangilia goli lake.
Binafsi navutiwa sana na style ya mchezaji wa Bayern Munchen SERGE GNABRY.. ile style yake kama...
What is death?
Is Death a phenomenon that exists on its own?
Is it absence of life?
Is it an exit door?
Is a transformation process?
What happens when we die?
Do we assume a new form?
Do we become formless,
Are we connected with our current condition?
Is death painful?
Is there any similarity...
1. Kutoonyesha anampenda sana fulani
2. Kutopenda Makundi baina ya wale aliowateua
3. Kutopenda Kutabirika na Wanaomzunguka
4. Kutopenda Kusomeka kwa haraka na Wateule wake
5. Kufuatilia Nyendo za Wateule wake ili kama ni mbaya anawaonda upesi
6. Kumchana Mtu waziwazi hata kama ni Rafiki yako /...
Jamaa wana kula Masada aisee.
Yaani mtu unazunguka wiki Tatu mfululizo bila kupumzika. Unavuka mabonde na milima kila Kona Tanzania unapita.
Unapoteza virutubisho vingi kwa kuongea ili ushinde. Cha ajabu hawa wote ni watu wazima miaka 50+.
Sasa wewe Kijana (20-35) unazunguka vimitaa viwili tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.