Sekta binafsi ndiyo mwarobaini wa ajira nchini. Nchi za ulaya pamoja na kuwa na teknolojia pamoja na wataalamu lukuki lakini hazijafikia kiwango cha kuwa na madaktari wanaozurura mtaani, walimu wanaozurura mtaani pamoja na wauguzi wanaozurura mtaani eti kwa kisingizio cha ajira ni tatizo la...
Salaam!
Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
Duniani leo karibu kila aina ya muziki utakuta watu weusi wana mkono wao. Kama hawakuanzisha basi walichangia pakubwa kuanzishwa kwake. Na sehemu kubwa ni wamarekani weusi.
1.Raggae, huu mziki ni kama ni wa watu weusi tu. Wameanzisha na wanauendeleza.
2. Jazz, huu wa watu weusi.
3. Hip hop...
Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
Mama Samia mimi bado nakupenda na nataka ufanikiwe katika miaka yako hii minne iliyobaki, na kama ukifanya vizuri njia nyeupe kwako 2025 - 2030.
Ni kweli kwamba kuhairishwa muda kwa mechi ya Simba na Yanga kwa kisingizio cha ajabu kabisa kumetia doa urais wako, tena mapema sana katika awamu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam
Tunakuletea updates hapa
Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa
Tumepata kadi za msamaha wa Bima, lakini Wazee hatupati baadhi ya vipimo na Dawa tukifika...
Licha ya umuhimu wa kuboresha maarifa kazini bado suala hili limekuwa na ukakasi mwingi kuliko mianya bora ya ufanisi. Licha ya wawakilishi wa mwajiri kuwatatavwatumishi wengi kujiendeleza kwa gharama zao wenyewe kimasomo bado sheria ya kutumikia muda wa daraja la mshahara ni changamoto kwa...
Mei 3 ni siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ambapo serikali ya Tanzania imesema inawahakikishia kulinda Uhuru wa Vyombo vya Habari.
Hata hivyo serikali imesisitiza jukumu la kuweka maslahi ya Taifa mbele kama ambavyo tasnia nyingine zimekuwa zikifanya.
Aidha wamesema Jukumu la kulinda...
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA
Na, Robert Heriel
Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo kuhusu suala la mahari
Mahari ni zawadi itolewayo wakati wa kuposa au kuposwa kwa lengo la shukrani...
Mbunge Godwin Kunambi amesema jambo la utoaji wa Haki ni gumu na linahitaji umakini mkubwa kwenye maamuzi
Ameeleza hayo Bungeni ambapo amegusia Sheria za utakatishaji Fedha na Uhujumu Uchumi akisema zilitungwa kwa nia njema, lakini changamoto iliyopo sasa ni utekelezaji wake
Ameeleza, "Kuna...
Kuna wengine wakienda supermarkets pesa iko na kubaki inabaki wanawapa tipu wahudumu kwahiyo hata mafuta yauzwe 10,000 Lita moja wala haiwasumbui pesa iko sio tatizo ni hivi to whom it may concern.
Sijui ni Waziri wa kilimo au viwanda mafuta yako juu mno Au mko group ya pesa sio tatizo kwahiyo...
Habarini wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Kumekuwa na kasumba la wadada kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani tena kwa kujiamini. Mimi binafsi nikisikia mwanamke anaongelea suala hili namtafsiri huyu mwanamke kama kaliwa sana na wahuni in short ni malaya.
Wewe unapataga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.