Bila Catalytic Converter kuna sumu zinazotoka kwenye moshi ambazo zitakuwa zinaingia kwenye hewa.
Sumu hizo hazifanani kulingana na aina ya engine,
Engine za petrol hutoa Hydrocarbons, Carbon monoxide pamoja na Oxygen gas.
Engine za Diesel hutoa NOX, Oxygen gas pamoja na Carbon dioxide...