Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na kumpitisha
Ikumbukwe kwa muda mfupi mshabiki huyo kindakikindaki aliyejiunga yanga miezi kadhaa iliyopita...
Kwanza niweke rekodi sawa. Tanzania hakuna Wapenzi wengi wa Mpira wa Miguu kama wanavyoamini wengi wetu, bali kuna Mashabiki wengi wa Simba na wa Yanga.
Kwa isivyo bahati mashabiki wetu hawa wanachowazidi Mashabiki wa sehemu nyingine Duniani ni namna hata wanavyoshabikia hizi timu zao.
Leo hii...
Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni laki 8.
Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba...
Tumeanza Kwanza leo na Kiungo Mkabaji Fundi Morice Chwuku kisha tunamalizana na ama Kumuuza Kanoute au Sakho ili Ceaser Lobi Manzoki atue Simba SC.
Haendi Yanga SC msidanganywe.
Wakenya lazima wawe na subira. Hakuna njia nyingine ama sivyo inaweza kutokea vurugu wakiwa impatient.
Kuchelewa kutangazwa matokeo does not necessarily mean kwamba kuna mtu anataka kuiba kura. Wapo makarani wa Uchaguzi, ambao kila siku wanapokuwa kazini wanalipwa hela. Kwa hiyo they may want...
Nimeona comment huku kuwa vichwa vya trenI vipya vitakuwa tayari 2023, hivyo tutaanza na vilivyotumika kwanza.
Hii reli tumejenga miaka mitano kwa pesa ndefu kusubiri mwaka mmoja sio shida mama, haya magari used yanatutoa jasho, sembusee trenI? Kitu kipya kina raha yake. Mama isitoshe 2023...
Pamoja na kupungukiwa subira hakika JPM alikuwa na tamaa ya dhati kabisa kuisaidia Nchi yetu iweze kufikia maendeleo ya kweli.
JPM hakuwa na subira ya hata chembe kitu ambacho kiliwaumiza na wasio husika.
Mfano mzuri ni suala la vyeti fake JPM alitakiwa angalau wale ambao walikuwa na uzoefu wa...
Sifa njema zote za mstahiki Mwenyezi Mungu Sub'hana wa Ta'ala, Rehma na Amani zimshukie kiongozi wa Ummah, Mtume wetu Muhammad Swallallahu alaiyhi wasallam.
Kwenye mafundisho (ya dini) tunaambiwa, kwa kila mwenye kutia nguvu na kujiwekeza katika kuwafanyia mema wamzungukae na atarajie malipo...
Habari waungwana,
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno kuhusu mapenzi. Watu wengi mmekuwa mkitamani mjue msimamo wangu kuhusu haya mambo. Leo nitaongea jambo moja tu kwasababu mapenzi ni mrundikano wa upuuzi mwingi...
Maoni yangu juu ya katiba mpya kama mnavyoniuliza;
Serikali yetu ya CCM chini ya rais samia haijakataa rasmi katiba mpya; ni suala la msingi kwa Watanzania ndio maana ilianzisha mchakato wake wakati wa Rais Mstaafu Kikwete.
Hili suala halihitaji maandalizi duni. Nawasihi tuendelee kumuunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.