Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui.
Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
Mamlaka ya Mawasiliano ya Sudan Kusini imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari 22, 2025.
Katazo hilo linafuatia kusambaa kwa picha za video zinazoonesha mateso na masumbuko ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika eneo la Wad Medani, nchi...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi kwa kumfuta kazi mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi, na gavana wa benki kuu, kwa mujibu wa tangazo la shirika la habari la serikali SSBC. Hakutoa sababu za mabadiliko hayo. Paul Nang Majok...
katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii,
Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina...
Huko hali ni mbaya kwa baadhi ya majimbo mfano Unity ambapo maji ya kunywa yamechanganyikana na mafuta kutokana na mafuriko.
Mafuta yanachimbwa sehemu mbalimbali mfano Uarabuni . Je, na huko hawajali afya za wananchi au wawekezaji na watawala wanatuona wananchi kama manyani?
Kuna kesi za...
Serikali ya Sudan Kusini imeahirisha uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Desemba 2024 hadi Desemba 2026 kutokana na changamoto za maandalizi. Ofisi ya Rais Salva Kiir imetaja hitaji la muda zaidi kukamilisha sensa, uandishi wa Katiba mpya, na usajili wa vyama vya siasa.
Uchaguzi huo umeahirishwa...
Taifa dogo changa lililopatikana kwa misukosuko na vita Kali la Sudan kusini limegeuka kimbilio la wale wasudani (waarabu)wa kaskazini ambao kwa Sasa dunia imewaacha wanyukane hadi bingwa apatikane
Ndani ya mda mfupi Juba Ina uwanja mzuri kabisa kuhost mechi za CAF huku Sudan wakiendelea...
Sudan Kusini wamefuzu kushiriki michuano ya Olympics upande wa wanaume leo 22-7-2024
Miaka 14 iliyopita Taifa hili lilijipatia Uhuru kutoka kwenye mikono ya Sudan ya Kaskazini ile ya Dikteta Al Bashir.
Leo hii wamekabiliana vikali sana na timu ya taifa ya Marekani, inayo ogopwa dunia nzima kama...
Ni Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini, Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia, Paul Kagame wa Rwanda, Felix Tshisekedi wa DRC, Yoweri Kaguta Mseveni wa Uganda, William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto wa Kenya, Evariste Ndayishimiye wa Burundi, ama ni kipenzi cha Africa na dunia nzima Dkt. Samia Suluhu...
Dunia hailali. Kila siku watu wanaumiza vichwa vyao wafanyaje kukamata fursa ili kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi.
Kenya anapambana akamate soko la mizigo la Uganda, Sudani Kusini , Ethiopia na baade Afrika ya Kati kupitia Sudani Kusini. (Kupitia mpango wao wa The Northen Corridor)
Wiki hii...
Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake.
Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa...
Authorities in South Sudan's Central Equatoria state have banned the sale of a popular beer after several people died after consuming the local gin.
The Royal Gin, popularly known as "Makuei Gin" is said to be addictive, mostly to young people.
Its consumption reportedly increased during...
Je, Kenya imeweza kutambua kwamba suala hili linaweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na walafi wa rasilimali za Afrika na jinsi sera hiyo inavyotekelezwa na serikali inavyoshughulikia masuala ya usalama wa mipaka?
Je, Kenya imejiridhisha juu ya
Kuingia kwa watu wanaotaka kufanya...
Hivi majuzi, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio la kuongeza muda wa vikwazo dhidi ya Sudan Kusini hadi Mei 31, 2024 kwa kura 10 za ndio na 5 hazikupigwa. Cha kusisitizwa ni kwamba, kama mwanzilishi na mtungaji wa rasimu ya azimio hilo, serikali ya Marekani imekuwa ikifanya...
Mayiik Ayii Deng amefutwa kazi kupitia tangazo lilitolewa kupitia Runinga ya Taifa bila kuwepo kwa taarifa zaidi za sababu ya kuondolewa kwake. Waziri huyo ni mtu wa karibu wa Rais Kiir na amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais.
Kiir amechukua uamuzi huo ikiwa ni Wiki moja tangu amfute kazi...
Joseph Ntakirutimana, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Burundi, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
Ameshinda baada ya wanachama 54 kati ya 63 kumpigia kura, huku mmoja akimkataa na Kura nane ziliharibika. Ili mtu ashinde nafasi ya Spika wa EALA, lazima apate...
Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
Tangu kuanzishwa kwa mradi wa kujifunza lugha na utamaduni wa China mwezi Julai, 2021, vijana wengi wa Sudan Kusini waliojiandikisha katika madarasa ya lugha wamegundua umuhimu wa lugha ya Kichina.
Mayiik Deng, mwenye umri wa miaka 25, ni mmoja wa wanafunzi wa mwanzo wanaoshiriki muhula wa tano...
Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo
Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali hewa,magonjwa kwani hakukuwa na dawa, njaa kwani chakula kilikuwa hakipatikani, ambapo waliofariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.