The Sukari mine or Alsukari mine (Arabic: السكري Al-Sukkari, Egyptian pronunciation: El-Sokkari) is a gold mine located in the Nubian Desert/Eastern Desert near the Red Sea in Egypt, in the south-east of the country in the Red Sea Governorate, 30 km south of Marsa Alam. It is exploited jointly by the Egyptian Ministry of Mineral Resources and Centamin. It is Egypt's first modern gold mine, an industry considered to have scope for expansion in the country. Egypt was known in the ancient world as being a source of gold, and one of the earliest available maps shows a gold mine at this location.It is a combination of an open-pit mine and an underground mine, with estimated reserves of 15.4 million ounces of gold. The site is supplied by a 30 km long pipeline bringing water from the Red Sea.
Hii pesa inayotumika kuwanunua wapinzani na inayotumika kisiasa kuwatesa wapinzani Je, haiwezi kusaidia viwanda vya sukari kuzalisha kukidhi mahitaji ya ndani na kuzalisha ziada?
Nchi kama Uganda ndio ya kuisaidia Tanzania Sukari na hawajawahi kuwa na uhaba wa sukari, je wao ndio wanayo...
Waziri wa viwanda na biashara mh Bashungwa amesema tatizo la sukari sasa limekwisha baada ya shehena ya tani 20,000 kupokelewa jijini Mwanza kutokea Uganda.
Bashungwa amewataka wafanyabiashara kuzingatia bei elekezi na atakayekiuka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Source: Star...
Kiukweli hili swala la uhaba wa sukari kama litaendelea tutashuhudia mengi.
Nimemwona Mkuu wa wilaya ya Igunga mh Mwaipopo kupitia Star tv akiwa na lundo la askari polisi waliochanganyika na JW pamoja na migambo wakisaka walanguzi wa sukari mitaani.
Kumbe hii nayo ni vita kama ile ya Corona...
Spika Job Ndugai amesema kesho Bungeni kutakuwa na uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo na Waziri wa Wizara hiyo atatolea ufafanuzi suala la kuadimika kwa sukari nchini
Spika Ndugai amewaomba Wabunge kuwa na subira kwani kesho watapata nafasi ya kuchangia na kuzungumzia suala hilo wakati...
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema nchi ina sukari ya kutosha na kilichojitokeza ni propaganda ya watu wasioitakia mema.
Akihitimisha hoja ya bajeti ya wizara yake ya mwaka 2018/19 leo Mei 11, 2018 bungeni, Mwijage amesema tayari ameagiza Shirika la Viwango...
Unaweza usielewe sasa lakini huko mbele ya safari utaelewa tu, hawa mawaziri wawili wamekalia kuti kavu.
Katikati ya Corona sukari imeadimika madukani watu wanalazimika kusongamana bila kupenda wakiitafuta sukari.
Sisi tulioishi wakati wa vita vya Kagera tunaamini Corona ni vita na hali ya...
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
Kwa kiburi alicho nacho mkuu wetu wa nchi ikatokea tukawekewa vikwanzo vya kiuchumi na mashirika au taasisi za fedha Duniani zikatususa itakueaje ? Najaribu kutafakuri tu
Ni maoni ya wananchi wanyonge sehemu mbalimbali nchini wanaofurahishwa na jinsi wakuu wa wilaya na mikoa wanavyoonekana kwenye TV wakifoka kwa hasira huku wameambatana na askari polisi wenye silaha kuwakamata vibaraka wa mabeberu wanaouza sukari kwa shillingi 4000 hadi 7000(Chanika) kwa kilo ili...
Serikali haijashinda vita na wafanyabishara toka mzee Magufuli aingie ulingoni. Korosho alipigwa vibaya sana. Mpaka leo serikali inadaiwa.
Pambano la sukari nalo limefikia pabaya sana tuna viwanda vingi sana hapa ndani na bado sukari haitoshi kuagiza nje bado tatizo.
Sasa sukari haipatikani...
Naona suala la sukari limekuwa sensitive sana, kukosekana kwa sukari imeonekana kama vile ni kukosekana kwa chakula.
Niwaambieni ukikosa sukari hufi, na pia sukari ni mbaya Sana kiafya na Katika mwili wa binadamu, kinachionekana muhimu kwenye sukari Ni umuhimu wake kiuchumi, Viwanda vinategemea...
Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku.
RC Makonda amesema kwa...
Binafsi siamini kama mwezi huu wa Ramadan ndio sababu ya sukari kuhadimika madukani au kufichwa kama inavyodaiwa.
Zimepita Ramadan nyingi tu hatujaona sukari ikiadimika kwanini iwe mwaka huu. Ilifika wakati Bara ilizuia sukari kutoka Zanzibar kwa sababu bara ilikuwa na Supply kubwa ya...
Wakuu Salaam;
Nimezunguka madukani kutafuta sukari ili nipate chai angalau nichangamke kipindi hiki cha mvua maana baridi ipo kweli huku duniani niliko, sasa kila duka naloingia naambiwa sukari hamna!
Nimejaribu kwenda hadi maeneo ya stendi lakini bado sukari najibiwa hamna.
Nimeamua ninywe...
Nimetafuta sukari maduka mengi ya nyumbani Tandika Mwembeyanga na Temeke mwisho sikufanikiwa kuipata, baadaye akaja kijana mmoja ninayefahamiana naye akaninong'oneza kwamba siwezi kupata sukari wiki hii, labda nisubiri upepo upite.
Baada ya uchunguzi wangu wa wazi nimebaini kwamba maduka...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na Wafanyabiashara wanaouza Sukari kwa bei ghali tofauti na bei elekezi ya Serikali ambapo amesema ifikapo Kesho kikosi kazi kitafanya ukaguzi na watakaobainika kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu Watakamatwa na Sukari kutaifishwa...
Deregulation of sugar industry will see the economies of scale and market competitiveness transfer relief that results into lower prices to final consumers.
In order to protect local industries, govt have been placing quotas or embargoes to the importation of sugar something that has resulted...
Kamishna wa operesheni na mafunzo CP Liberatus Sabas amesema Jeshi la Polisi linashirikiana na mamlaka nyingine kufanya operesheni ya kuwakamata wafanyabiashara wanaouza sukari kinyume na bei elekezi ya serikali, ambapo tayari wafanyabiashara 36 wamekamatwa katika mikoa sita na tani 106,939 za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.