sumbawanga

Sumbawanga is a city located in western Tanzania. It is the capital of Rukwa Region and the municipal seat of Sumbawanga Urban District with postcode number 55100 . The district had a population of approximately 150,000 based on the 2002 census. Sumbawanga lies in the territory of the Wafipa Fipa tribe and so many people speak Kifipa, as well as Kiswahili, the most widely used language of Tanzania. The name of the town literally translates as "throw away your witchcraft", thought to be a warning from local spiritual "healers" to any bringing in superstitions and practices relating to spiritual healers from other areas; there are still some healers who practice both in town and in the surrounding smaller villages on the plateau. The town has the largest hospital in the region, Rukwa General Hospital, which is government funded, as well as the smaller Dr. Atiman Hospital administrated and run by the Catholic Diocese of Sumbawanga.
The town acts as a supply and commercial center for the Rukwa Region and some governmental agencies are to be found there, notably the transport department for the region. Sumbawanga has both Libori and Moravian conference centres. A modest-size market is in the town centre where local produce may be found. This includes maize, rice, fruit, poultry and fish (from Lake Tanganyika and Lake Rukwa). Many imported plastic goods and electronics are available as well as bicycles and spares. Although there are several fuel outlets, supply can be quite erratic because of the difficulties of transport from the coast.
The local economy is largely dependent on agriculture and small locally owned businesses. There is very limited industry or production in the town. Significant improvement could be expected if the road to Mbeya was sealed to enable reliable all-weather access year round. This road, and its continuation north to Mpanda and Tabora or Kigoma, can become impassable at the height of the wet season (Feb-Mar). The Tanzanian government does have contracts in place for upgrading large sections of these roads. The town can be reached by flights operated by Auric Air or by bus from Mbeya which lies to the south with train links to the town of Kapiri Mposhi in Zambia, to Dar es Salaam. Rail is also available through Tabora from Mpanda in the north. Mpanda also has an airport with a 2 km sealed runway.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Mbunge Aeshi Hilaly apongeza Chama cha Wafanyakazi kwa msaada kwa Vituo vya Afya Sumbawanga

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  2. Msaada wa kisheria Sumbawanga kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa

    Jumla ya Kata 10, Mitaa 15, Vijiji15, kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa huku wananchi 25,780 walifikiwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga katika zoezi la msaada wa kisheria ambalo kilele chake ni leo Machi 6 Katika Mkoa wa Rukwa. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa...
  3. Pre GE2025 Sumbawanga: Serikali ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 kwa bilioni 1.3

    Serikali imesema ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 litakalogharimu kiasi cha Shilingi Bil.1.3 hadi kukamilika kwake lililopo Kata ya Mpui, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Mkoani Rukwa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala...
  4. DED Sumbawanga amtimua fundi kutokana na ubabaishaji usiozingatia viwango vya ujenzi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Bi. Pendo Mangali katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo aliyoifanya Februari 22/2025, ameagiza kuondolewa kazini kwa fundi Yusuph Benias Mgogo na kutafutwa fundi mwingine kutokana na fundi huyo kuwa mbabaishaji na kushindwa kutekeleza majukumu...
  5. Pre GE2025 Sumbawanga yafanya usafi wa mazingira kwa ushirikiano wa Viongozi wa CCM na Wananchi

    Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo Viongozi,Wananchi, Wafanyabiashara, Viongozi wa Serikali na siasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Taasisi na Watumishi wamefanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Sumbawanga ikiwa ni pamoja na barabara za Mjini na...
  6. DOKEZO Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za usafiri hususani bajaji kutoka Tshs 600 hadi 800 mpaka elfu 1000

    Ndugu zangu tunapata taarifa nyingi toka kila pande ya nchi yetu pendwa ya Tanzania,Leo nimepata taarifa kuwa huko Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za usafiri hususani bajaji kutoka Tshs 600 hadi 800 mpaka elfu 1000 kwa baadhi ya maeneo,ilhali gharama za...
  7. J

    Wavuvi 540 waokolewa, 10 wanatafutwa ziwa Rukwa kufuatiwa kukumbwa na upepo mkali

    Wavuvi 540 waliokuwaa wanafanya shughuli za Uvuvi katika Ziwa Rukwa wameokolewa na Wavuvi 10 wanaendelea kutafutwa kufuatia upepo mkali uliotokea mnamo tarehe 23 Januari 2025 katika ziwa Rukwa Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa. Soma Pia: Mvua ilivyoharibu miundombinu ya Barabara Sumbawanga -...
  8. Naibu Waziri wa Ujenzi Godfrey Kasekenya : Uwanja wa ndege wa Sumbawanga ulipaswa kujengwa kuanza Mwaka 2016

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Sumbawanga unaondelea ukiwa umefikia asilimia 40. Aidha Kasekenya amesema Ujenzi wa Uwanja huo ulipaswa kuanza Mwaka 2016 ila changamoto za kimkataba zilikwamisha ujenzi kuanza.
  9. LGE2024 Sumbawanga: Mwenyekiti awaongoza Makarani kuandikisha Wapiga Kura Nyumba kwa Nyumba

    Leo ni siku ya mwisho ya kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Hali hii inatia wasiwasi baada ya karani na mwenyekiti wa Anglikana B, Kata ya Katandala, Manispaa ya Sumbawanga, kujitokeza kuandikisha wananchi nyumba kwa nyumba...
  10. Mashamba ya kukodi Sumbawanga

    Kuna mashamba yanakodishwa Sumbawanga vijijini yanafaa kwa kilimo hasa cha mahindi. Mvua ni za uhakika . Matayarisho ndio yanaanza sasahivi mwezi wa kumi. Garama ni laki moja kwa ekari moja. 071654 8250
  11. Wakuu, naombeni taarifa hizi muhimu kuhusu route ya Masasi kwenda Sumbawanga

    Habari zenu humu ndani Ningependa kujua kama pale stendi ya Masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi kufika sumbawanga kutokea pale masasi na gharama zake ni bei gani
  12. LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

    Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa mpya wa Katavi. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu...
  13. N

    DOKEZO Ofisi ya Rais Utumishi, TAMISEMI na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga okoeni mtumishi huyu

    Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake. Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi wa Umma 2016/2017 mwajiri wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga alizuia...
  14. S

    Nimepata site ya umeme Kondoa, nina imani huku haitakuwa kama ilivyotokea Sumbawanga

    Heshima kwenu! Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga. Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi ndiyo basi tena walibakia huko baada ya kazi hawajarudi hadi leo na hawataki kabisa kusikia habari za...
  15. M

    Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

    Yaani napalangana kuuza kangala na huku napiga kazi.. Kuna dada mmoja alinikuta kazini (Kapuni naliweka jina lake.) Aliponikuta kazini alikuja hajui kitu. Nikamfundisha kazi. Baada kujua kazi. Akabadilika akaanza kunichafua kwa mabosi. Asubuhi bosi akija anakuja amenuna. Ghafla nikaanza...
  16. Ombi Kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufuatilia kwa ukaribu Baraza la ardhi Sumbawanga

    Mabaraza yaliyowekwa na hii wizara ili kutatua migogoro kwenye ardhi na sio migogoro ya kifamili kwa sehemu kubwa yamefanyika kuwa kero kwa wananchi haswa wenye uhalali wa umiliki wa ardhi kwa viongozi husika kuendekeza rushwa sanaa.(Sijui posho zao haziwatoshi) Kumekuwa na ucheleweshaji wa...
  17. Sumbawanga: Mfanyabiashara azikwa akiwa hai

    Sumbawanga. Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumpiga na kumpora fedha zaidi ya Sh 1.8 milioni kisha kumzika akiwa hai mfanyabiashara wa mazao, Baraka Nyangala (30) na kumsababishia umauti. Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa...
  18. Je, wanawake wa Sumbawanga wana yapi kwenye mahusiano

    Ndugu zangu kila kabila lina mazuri na mabaya yake mnaombwa ushauri na kaka yenu kaniomba mimi nikashindwa nimshaurije nimebaki kimya nikaona nilete kwenu nanyi mumshauri Huyu braza kapata demu wa Sumbawanga anaishi Mbezi na anasimamia Gest ya baba yake sasa akashindwa achukue hatua gani je...
  19. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sumbawanga kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwachukulia hatua watumishi wote waliobainika kusababisha changamoto kwenye miradi inayotekelezwa Sumbawanga akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo Jacob Mtalitinya...
  20. L

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu Sumbawanga Manispaa

    Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu sumbawanga Manispaa na wengine. Akiwamo Engineer na Afisa Manunuzi kwa matumizi mabaya ya pesa za miradi. ===== Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuwasimamisha kazi aliyekuwa Mganga Mkuu wa Manispaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…