Binti wa miaka 16 anaitwa Recho, yuko kijiji cha NITU, wilaya ya LAELA, Mkoa wa Rukwa.
Ameozeshwa kwa kulazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka zake, ambao wamechukua mahari ya shilingi 700,000, tena ameozeshwa kwa mzee kama mke wa pili.
Huyo binti yeye hataki kuolewa na kwa sasa ametoroka...
Anonymous (710d)
Thread
binti
lazima
miaka
mke
mke wa pili
pili
sumbawanga
Baada ya Wanawake kuwaua waume zao Kwa wivu wa mapenzi huko Sumbawanga naona wanaume wameanza kulipa Kisasa.
Kutoka Tanga Mume amkata mkewe Kwa mapanga na Nduguye kisa wivu wa mapenzi kisha kutokomea kusikojulikana.
=======
WANAWAKE wawili wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mkanyageni...
Karibu Afritrack,
Afritrack ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Laiki Technology Limited ambayo ni kampuni iliyoanzishwa mwezi wa Aprili 2006 na ni moja ya kampuni za kwanza kuleta huduma za kufuatilia(kutrack) magari nchini Tanzania. Kwa miaka mingi, Afritrack imebadilika na kuwa mtoa...
Mwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Mohamed Makubi amesema tukio hilo lilitokea...
#HABARI Mtoto aitwaye Haruna Mwanakatwe anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kumi (10) mwenye ulemavu wa viungo na mkazi wa mtaa wa Edeni B Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameuawa kwa kuliwa na Nguruwe nyumbani kwao.
Tukio hilo limetokea jana Juni 25, 2023, baada ya mtoto huyo kubaki ndani...
Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha.
Baadhi...
Salaam,
Hatimaye ile ndoto ya siku nyingi ya Uwanja wa ndege sumbawanga uliokuwa hautumiki imetimia.
Leo Serikali inayoongozwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan imetia saini kuanza kwa ujenzi wa Uwanja.
ILIKUWAJE?
Awamu ya kwanza ya Upembuzi yakinifu na...
Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu kwani anapita humu na tupo naye.
Ni swali la moja kwa moja tu, kama ni kweli yule DC wa Sumbawanga katolewa kwa igizo lile basi hatuna budi kujitafakari upya lakini pia...
DC Sumbawanga ametumbuliwa Jana Bila Sababu yakumbuliwa kwake kuwekwa wazi. Mitandao ya kijamii imeandika kwamba zoezi la utayari lililoandaliwa na Askari WA kike ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwake.
Wakati vyanzo vikinyetisha kwamba zoezi la utayari Ndilo lililomtumbua naomba tutumie Sababu...
Mwenye macho haambiwi tazama:
Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo.
Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia.
Mungu Ibariki CHADEMA.
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni ya ‘gesti’ iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo.
Akizungumzia tukio hilo leo Jumanne Novemba 29, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani...
Huyu hapa mshindi wa Supa Diva 22 inayosimamiwa na Fiesta kipindi cha kuendesha show za fiesta mikoani. Afichua siri ya mafanikio yake hadi kushinda.
Full story:
Nikiwa Form Six Sumbawanga Sec, Ilikuwa ni siku ya Ijumaa,Siku ambayo tulikuwa tunawahi kutoka Darasani kwani ilikuwa ni siku special kwa ajili ya Michezo.
Basi bwana me nkiwa na kibaiskeli changu nilichochukua kwa Dogo mmoja wa Olevel... chini nkiwa nmepiga Soksi na Sendo huku juu tisheti na...
Kichwa cha habari chahusika.
Kumekuwa na unyanyasaji na uvunjifu wa sheria ubaofantwa na Kamishina wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Rukwa,Mkuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Sumbawanga na dalali kutoka mbeya anayeitwa Fagio Auctioneer.
Kiuhalisia dalali huyu ametafutwa na huyo Mkuu wa Idara ya Ardhi...
Mzee mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Manase amepokea kipigo kutoka kundi la vijana wamachinga hapa mjini Sumbawanga. Nikiwa nimetulia zangu hapa kwenye biashara zangu za madafu, mita kama 100 mbele yangu nikaona kundi linamkimbiza huyo mzee aliyevalia nguo za CCM huku akipigwa mawe na fimbo...
Habari JF,
Baaada ya maisha ya chuo kuwa magumu hapa Dar es Salaam, sasa nimeamua kupostpone masomo mpaka second semester Next Year, pia nimepostpone pesa HESLB mpaka Next Year.
Ajira hakuna, so chuo ntamalizia mwakani, Ila kwa sasa naenda kujifunza uganga short course miezi 6.
Babu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.