Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,
nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,
#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Wanaonekana “wagonjwa” watatu wa uviko (Ramona Khoury, Fawaz Dandan na Osama Ahmad) wakieleza hali mbaya waliyopitia kwenye ugonjwa huu. Walidaiwa kuwa wako Concord Hodpital, kule Sidney, Australia.
Kwa “masikitiko” wanasema wanatamani wangejua mapema, wangepata sindano. Kisha wanasema...
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais wa Rwanda Paul Kagame, baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha kisasa cha magari ya Volkswagen kilichopo Kigali Special Economic Zone chenye uwezo wa kutengeneza magari aina 6 tofauti.
Kukamatwa kwa mfanyabiashara mwenye uraia wa Haiti ambaye anaishi Florida ambaye vyombo vya usalama vinadai kwamba ni mhusika mkuu wa mauaji ya aliyekuwa raisi wa Haiti, kunazidi kuongeza maswali kwenye hili sakata ambalo tayari limeacha mawasli mengi.
Vyombo vya usalama vya Haiti vinadai...
Mwanzo, hatukuwatambua tulijua ni washirika wenzetu wazuri tunaosafiri kwenye safina moja kuelekea nchi ya maziwa na asali, Kaanani yetu. Kwa jinsi walivyokuwa wanasifu na kuabudu pamoja na kupanda kwenye madhabahu mbalimbali kutoa mahubiri ya kutujaza imani, kweli tulijua ni kondoo wazuri...
Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani.
Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
Wadau napendekeza Mheshimiwa wetu mpendwa Rais Samia Suluhu Hassan, Tuchape noti zenye sura yake kwasabab;-
Ndiyo Rais wa kwanza Mwanamke.
Utendaji wake ni wa kutukuka.
Ana kazi kubwa ya kulikomboa taifa kutoka katika giza nene la chuki, unyanganyi, kupotezana kupigana risasi na ubabe...
Video vixen na msanii Amber Lulu ampost kwa Mara ya kwa mtoto wake. Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtoto huyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali,
Mtoto Huyo ambae baba ake ajulikani ameanza kula shavu za kuwa brand ambassador wa kampuni za bidhaa za watoto...
Umofia kwenu!.
Dunia inabadilika, zama pia zinabadilika. Hata miili pia inalazimishwa kubadilika.
Sura za wanawake zinachakachuliwa sana. Mpaka kukosa uhalisia wenyewe. Yote haya ni kwa ajili ya kumnasa mwanaume. Kuanzia kujichubua, make up, plastic surgery na makorokocho mengine kibao. Sasa...
Habari za wakati huu wakuu.
Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.
Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa...
Sakata la Philomena Toima mke wa mkuu wa wilaya mstaafu nchini ,Peter Toima Kiroya limechukua sura mpya baada ya jeshi la polisi wilayani Simanjiro kuwashikilia watoto wake kwa sababu zisizojulikana mpaka sasa.
Watoto walioshikiliwa na polisi wilayani humo ni pamoja na Nahini Toima pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.