susan lyimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Susan Lyimo: Jambo pekee ambalo CCM wamebaki nalo ni kukimbiza mwenge mchana, wanadai unaleta amani basi waupeleke Congo

    Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko. Aidha amewataka wanaoitwa mabalozi huko vijijini huku wakiwa na bendera za CCM juu ya nyumba zao kuukuu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Susan Lyimo: Kususia uchaguzi ni kama kumuachia ngedere shamba la mahindi, sisi tutazuia hatususii

    Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Susan Lymo asisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni kuzuia uchaguzi sio kususia aomba wananchi waunge mkono.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…