Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko.
Aidha amewataka wanaoitwa mabalozi huko vijijini huku wakiwa na bendera za CCM juu ya nyumba zao kuukuu wajitafakari na wajiunge na CHADEMA
"Wewe upo huku kijijini unajiita balozi acha niwaambie mabalozi wapo masaki jijini Dar es Salaam wewe unatumiwa tu, CCM wanatembezaga mwenge wa uhuru kila mwaka bila malengo yeyote eti mnaambiwa unaleta amani kwa amani ipi basi waupeleke DR Congo" Susan Lyimo