PreGE2025 Susan Lyimo: Jambo pekee ambalo CCM wamebaki nalo ni kukimbiza mwenge mchana, wanadai unaleta amani basi waupeleke Congo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko.

Aidha amewataka wanaoitwa mabalozi huko vijijini huku wakiwa na bendera za CCM juu ya nyumba zao kuukuu wajitafakari na wajiunge na CHADEMA

"Wewe upo huku kijijini unajiita balozi acha niwaambie mabalozi wapo masaki jijini Dar es Salaam wewe unatumiwa tu, CCM wanatembezaga mwenge wa uhuru kila mwaka bila malengo yeyote eti mnaambiwa unaleta amani kwa amani ipi basi waupeleke DR Congo" Susan Lyimo

View attachment 3336875
Mwenge unasambaza virus vya ukimwi na magonjwa ya zinaa maana huko vijijini unapolala hufanyika ngono hovyo
 
WE MJINGA UTAUJUWAJE UMUHIMU WA MWENGE?UNGEKUWA NA AKILI UNGEJUWA
Aliye na akili kashindwa kujua tofauti kati ya UTAJUAJE na UTAJUWAJE.
UNGEJUA na UNGEJUWA.
Kwa mwendo ni lazima Mzee WASIRA mwenye umri wa zaidi ya mara mbili ya umri wa kusitaafu ateuliwe huku mnaopaswa kushikilia hizo nyadhifa mkimsubiri Shaabani Kisu awalazimishe kupiga makofi,utamsikia akisema "hamasa pigeni makofi,pigeni makofi hayo hayatoshi".
 
Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko.

Aidha amewataka wanaoitwa mabalozi huko vijijini huku wakiwa na bendera za CCM juu ya nyumba zao kuukuu wajitafakari na wajiunge na CHADEMA

"Wewe upo huku kijijini unajiita balozi acha niwaambie mabalozi wapo masaki jijini Dar es Salaam wewe unatumiwa tu, CCM wanatembezaga mwenge wa uhuru kila mwaka bila malengo yeyote eti mnaambiwa unaleta amani kwa amani ipi basi waupeleke DR Congo" Susan Lyimo

View attachment 3336875
Mama anasema ukweli na kichambo juu 😀 😀 😀 😀
 
Ahahahahah 🤣🤣🤣🤣🤣 tuwaongezee sauti ama inatosha, yaani ka wachawi vileee
 
Back
Top Bottom