suti

Suti is a town, with a police station, not identified in 2011 census as a separate place, in the Suti II CD block in the Jangipur subdivision of Murshidabad district in the state of West Bengal, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Vijana wa Chadema msiwe na hofu mimi sio mwanaCCM kuvaaa kaunda suti ya kijani sio kwamba mimi kada. Ila CCM wanajitahidi kumantain political of peace

    Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia. By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
  2. Lycaon pictus

    Suti aina ya Zoot kama anavyoielezea Malcom X

    Kwenye biography yake, Malcom X anaelezea jinsi alivyonunua suti aina ya zoot alivyofika jijini Boston. Suruali ya bluu, magotini ikiwa na upana wa nchi thelathini, kisha inapungua upana kuelekea chini hadi kufikia upana wa nchi kumi na mbili kwenye pindo la chini. Koti lake lilikuwa refu...
  3. M

    Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

    Naam, Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa. Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya...
  4. Sutimikoani

    INAUZWA Pata suti kali kwa bei ofa

    Suti_mikoani ni wauzaji wa suti za kiume Kwa ajili ya sherehe za harusi, ofisini, vikao na matukio maalumu. Tunatuma mikoani kwa uhakika na haraka zaidi na wateja wetu wa Dar es Salaam tunafanya free delivery. Wateja wetu karibuni dukani kwetu. Tucheki kupitia namba hii; call/WhatsApp...
  5. MakinikiA

    Niwafanye nini viumbe hawa wameharibu suti yangu

    Hawa viumbe wanaifanya wikend nione chungu wameharibu suti nilitaka kuivaa kesho kwa mzee wa upako, niwape adhabu gani maana bado wapo hai!
  6. mtwa mkulu

    Baada ya Kuwamaliza vigogo wa Al-Quaeda Sasa tuwageukie Magaidi wavaa suti wa Washington

    Osama bin laden- Founder Hamza bin laden- Hero Ayman al zawahiri -Technician Al Baghdad- Friend Murra Omari- father in law Abu-ibadah Al bashir- fonder of Al quaeda second in command killed in MV bukoba crush Nadhani tumewamaliza wengi kwa upande huu Sasa ni zamu ya Magaidi wa washing ton kama...
  7. GOKILI

    Maujanja ya Suti

  8. GENTAMYCINE

    Wapenda Kula Ndizi na Kulamba Ice Cream za 'Kibaiolojia' mkiwa na Suti zenu za Uumbwaji acheni kwani HIV 'Kajibanza' huko sana

    Sasa Wewe jifanye unajua sana ' Malavidavi ' na unataka kuonyesha Mbwenbwe zako Kitandani Ufe. Kwanza kwa Maisha haya Magumu nyie Mabwege mnaopenda sijui Kulamba Ice Cream na Kula Ndizi mkiwa ' Mnabanjuana ' mnaupata wapi huo muda? Pateni Nakala ya Gazeti la Nipashe la Leo ili mjue mengi zaidi...
  9. M

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua. Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
  10. V

    INAUZWA Wauzaji wa suti genuine kutoka Uturuki na Italy

    Karibuni smart collection ni wauzaji wa suti genuine kutoka Italy na Uturuki Suti zetu ni slim body Size 32mpka 40 unapata Kwa bei ya Tsh 250,000 Utapata koti kizibao na suruali Tuko kariakoo Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Whatapp 0657710078
  11. Superbug

    Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  12. Sky Eclat

    1910 suti ya vipande vitatu na kofia ilikua ndiyo vazi la heshima kwa wanaume

    Ukitoka nje ya nyumba yako unakubalika katika jamii ukiwa na vazi hili. Kuvaa jeans na t-shirt ilionekana si ustaarabu.
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Zile suti za kina Feisali ni za kuendeshea bajaji usiku

    Cheki midude Namuunga mkono ndugu mwandishi
  14. Kamanda Asiyechoka

    Suti za wachambuzi wa Azam sports hazina viwango. Wajifunze kwa wenzao UK

    Ali Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa. Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie wachambuzi suti za ukweli?
  15. kavulata

    Viongozi mliohudhuria mkutano wa UN rudini nyumbani na mikakati, msirudi na suti

    Kuona ni kuamini, think globally and act locally. Tunaomba viongozi wetu wa bara la Afrika tuliowasafirisha kwenda New York kwa kodi zetu kuhudhuria mkutano mkuu wa Baraza la Dunia, UN mrudi nyumbani na mipango mkakati ya kuboresha maisha ya watu wenu. Sina shaka kila kiongozi aliyekwenda New...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Hapa ni kwa Fundi Muwa Tandika ziliposhonwa suti za wachezaji Yanga

    Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy 😂😂😂😂😂😂😂
  17. Mancobra

    INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    Suti mseleleko ni wauzaji wa suti za kike, kiume na suti za watoto kwa wateja wa Dar-es - salaam na mikoani. Bei zetu ziko poa kabisa zinaendana na gharama ya fedha yako. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana Nasi kupitia namba; WhatsApp number: 0712878245 Suti za kiume(mikoani)...
Back
Top Bottom