Ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo kwa askari wanawake na wasimamizi wa sheria duniani yanayoendelea Chicago nchini Marekani, Kamishna wa Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu Tanzania, Suzan Kaganda ametoa mada kuhusu masuala ya polisi jamii na namna ya kushirikisha wananchi, jana...