suzan kaganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano: Kwanza Balozi (CP) Suzan Kaganda awe IGP ndo tukae mezani

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini. Hatuwezi fanya reconciliation...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Je, nafasi ya Suzan Kaganda kuchukuliwa na Deborah Magiligimba? Inawezekana IGP ajaye akawa ni Dkt. Magiligimba

    Baada ya CP Suzan Kaganda kuteuliwa kuwa balozi Sasa naona nafasi yake Kama kamishna wa fedha na mipango inaenda kuchukuliwa na mjumbe wa kamati ya fedha ya shirikisho la Polisi wanawake duniani-IAWP SACP Dkt.Deborah Magiligimba. Baada ya CP , Je ndio atakuwa IGP ajaye?
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asante Kwa Uteuzi. Ila Suzan Kaganda kumpa Ubalozi umeteleza, anatakiwa awe IGP

    Salaam Wakuu, Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei. Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kamishna Kaganda atoa darasa la Polisi jamii ulinzi wa amani Marekani

    Ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo kwa askari wanawake na wasimamizi wa sheria duniani yanayoendelea Chicago nchini Marekani, Kamishna wa Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu Tanzania, Suzan Kaganda ametoa mada kuhusu masuala ya polisi jamii na namna ya kushirikisha wananchi, jana...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CP Suzan Kaganda: Wasimamieni Askari wasitumie lugha zisizofaa, Jamii inalalamika

    Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu Jeshi la Polisi, CP, Suzan Kaganda amewataka Makamanda wa Polisi wa Usalama Barabarani wa Wilaya nchini (DTOs) kusimamia majukumu yao ipasavyo wakati wa kujaza fomu ya taarifa ya ajali za barabarani. CP. Kaganda ametoa maelekezo hayo Jijini Arusha Juni 21...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CP Suzan Kaganda awahimiza Dawati la Jinsia kutoa elimu zaidi ili kukomesha vitendo vya ukatili

    Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu CP Suzan Kaganda amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kote nchini kutoa elimu zaidi ili kumaliza vitendo vya ukatili katika Jamii huku akiwapongeza Watendaji wa dawati hilo kwa kufuatili kesi za ukali kwa karibu na wahusika...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijawahi kuwa na Askari kama huyu

    Nimeiona Video hii ya alichokisema Afande Huyu Kp Suzan Kaganda. Ama Kwa Hakika machozii yana nirengarenga na Kila mara naitazama. Ukweli ni Kwamba Mungu wetu wa Mbinguni Hafumbii macho uovu wowote, hata kama Taasisi / nchi Ina Mabaya mengi lakini lazima Mungu Atamwinua Mmoja Wa Kunyoosha Haki...
Back
Top Bottom