Kuhusu Maridhiano: Kwanza Balozi (CP) Suzan Kaganda awe IGP ndo tukae mezani

Mhaini

Member
Joined
Apr 8, 2024
Posts
70
Reaction score
101
CP_Suzan_Kaganda.jpg

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano

IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini.
Screenshot_20251201_005457_Chrome.jpg

Hatuwezi fanya reconciliation na Muuaji. Nani atapeana mikono na mtu aliyetapakaa na kunuka damu za binadamu mwili mzima? Kaua ndugu yangu halafu eti nimguse mkono, hata kukaa karibu yake siwezi. Ananuka

Kaganda ni Matunda ya Watanzania, hivyo ni heshima kubwa kwa taifa kuongozwa naye. Hakika nchi itapona na mgawanyiko utaisha. Chini ya Kanda, Wapo Polisi watano watakimbilia Kenya kwa kuogopa upelelezi.
20210831_115935.jpg

Tanzania tunao watu wachache Wasomi wanaofaa kuwa IGP na Kaganda ni Mmoja wapo. Nitazidi kumheshimu.

Ni muda wa kuwajibishana. Ndugu yangu Wambura, Cheo ni dhamana.
kagandadd-780x470.jpg
 
View attachment 3509824
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano

IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini.
View attachment 3509825

View attachment 3509826
Tanzania tunao watu wachache Wasomi wanaofaa kuwa IGP na Kaganda ni Mmoja wapo. Nitazidi kumheshimu.

Ni muda wa kuwajibishana. Ndugu yangu Wambura, Cheo ni dhamana.
View attachment 3509827
Hata igp awe nani ni kazi bure ni ccm watoke wote
 
Wambura ukimtazama tu usoni anaonekana ni mvuta bangi na mlevi sana sasa maamuzi ya mtu wa aina hii ni hatari sana kwa usalama wa taifa, naona kwa sasahivi hakuna vetting tena z hawa viongozi wakubwa
 
Hapa unatoa mawazo yako au unaongea kama msemaji wa kada gani ?

Nadhani nani awe ni baada ya kuwatia ndani waliohusika (uwajibikaji) hayo mengine sidhani hata kama una mandate ya kuchagua au kuteua (utachaguliwa tu) hayo ndio maigizo ya demokrasi yetu
 
IGP ana report Kwa Rais na Ni kazi ya Urais(Presidency) kucheck kama Hao top Senior officials ni watii Kwa mamlaka, Hakuna Kitu atabadilsha uyo kama Mifumo yetu Kwa sasa na taaasisi zinaburuzwa, Nina Uhakika hata mtu kama Msigwa ile sio akili Lakini atafanyaje sasa na ugali anataka?

Pia Kwa sasa Kama ume note Kitu ile mambo ya women empowerment sijui 50/50 bi Mkubwa anayapiga Chini kimtindo
 
View attachment 3509824
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano

IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini.
View attachment 3509825
Hatuwezi fanya reconciliation na Muuaji. Nani atapeana mikono na mtu aliyetapakaa na kunuka damu za binadamu mwili mzima? Kaua ndugu yangu halafu eti nimguse mkono, hata kukaa karibu yake siwezi. Ananuka

Kaganda ni Matunda ya Watanzania, hivyo ni heshima kubwa kwa taifa kuongozwa naye. Hakika nchi itapona na mgawanyiko utaisha. Chini ya Kanda, Wapo Polisi watano watakimbilia Kenya kwa kuogopa upelelezi.
View attachment 3509826
Tanzania tunao watu wachache Wasomi wanaofaa kuwa IGP na Kaganda ni Mmoja wapo. Nitazidi kumheshimu.

Ni muda wa kuwajibishana. Ndugu yangu Wambura, Cheo ni dhamana.
View attachment 3509827
Top aondoke tupenge timu yetu yenye haki
 
Wewe ni shimo la kati ya matako, tena shimo ambalo limetumika kabisa
Bado unaweza kujenga hoja bila kutukaana. Lakini kama kutukana kunakuondolea ugumu wa maisha na stress, nakuunga mkono. Bora kutukana kuliko kujinyonga.. Tukana sana mkuu
 
Haha! Lakini mbona ametumia Tafsida?
 
View attachment 3509824
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano

IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini.
View attachment 3509825
Hatuwezi fanya reconciliation na Muuaji. Nani atapeana mikono na mtu aliyetapakaa na kunuka damu za binadamu mwili mzima? Kaua ndugu yangu halafu eti nimguse mkono, hata kukaa karibu yake siwezi. Ananuka

Kaganda ni Matunda ya Watanzania, hivyo ni heshima kubwa kwa taifa kuongozwa naye. Hakika nchi itapona na mgawanyiko utaisha. Chini ya Kanda, Wapo Polisi watano watakimbilia Kenya kwa kuogopa upelelezi.
View attachment 3509826
Tanzania tunao watu wachache Wasomi wanaofaa kuwa IGP na Kaganda ni Mmoja wapo. Nitazidi kumheshimu.

Ni muda wa kuwajibishana. Ndugu yangu Wambura, Cheo ni dhamana.
View attachment 3509827
Screenshot_20251114-214608~2.png
 
Tunaridhiana na nani wakati hatuna viongozi waliochaguliwa
 
Mfumo wa kihuni uliozalisha hao wahuni hauwezi kutoa mtu msafi

Hiyo nafasi labda tu outsource kutoka nchi zilizo staarabika kama Scandinavian, Swiss, Canada na kwingineko
 
Huyo unaemtaja sio amiri jeshi mkuu, anatii amri kwa kushuruti. Mfumo unamlisha ni kama mapigi yake ya moyo.

Tazama watu kisha tafiti utii wao uko wapi? Hadi masheke na wachungaji utii wao sio kwako.
 
Wewe ni shimo la kati ya matako, tena shimo ambalo limetumika kabisa
wewe kundu mavi ya pipipili unamtukana kwa nini si ulete hoja ? umefirwa na mbooo neneeee inakutesa kichwa atako machafu kaoge kule
 
Mfumo wa kihuni uliozalisha hao wahuni hauwezi kutoa mtu msafi

Hiyo nafasi labda tu outsource kutoka nchi zilizo staarabika kama Scandinavian, Swiss, Canada na kwingineko
Tanzania tuna watu wenye weledi tusijidharau , wanasiasa wakiacha tu kuingilia system nchi ipo imara sana
 
Sasa unaweza kukuta huyo Kaganda mwenyewe ni kijana wa Msoga kama sio mchepuko wake

Akikalia kiti tu anaanza kufanya kazi kwa maelekezo kutoka kwa Master wake

Angalia mtu kama CDF anaonekana kabisa kuna master anamburuza

Back
Top Bottom