Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka.
Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote.
Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa watu mpaka kuwa nyama choma wamechukua mda mrefu kuwa nyama choma.
Maswala mengi ambayo yanafanywa...
Yupo Frontline
RAIS SAMIA AWASILISHA AJENDA YA NISHATI SAFI KWENYE MKUTANO WA AU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasilisha ajenda ya Nishati Safi ya kupikia kwenye Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)...
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini
Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za...
Haiwezekani mtaala umeboreshwa na hekaheka kibao zimefanyika halafu leo majestically wanafunzi wote wanachaguliwa shule yao ileile ya katani kwao whereas waliambiwa kabisa hapo kabla kwamba kutakuwa na mkondo wa jumla na mkondo wa amali na shule za mkondo wa amali zikaainishwa watoto wakachagua
Bila shaka mko poa
Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi.
Nimewahi kua na mrembo mmoja ivi anataka afanyiwe kila kitu(umkiss mwili mzima na upige shoo ya maana, (na...
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka Kigamboni kuelekea Kariakoo kwa usafiri wa daladala, cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro,
Swala ambalo lilinistua na kunistaajabisha na kufikiria...
Habari za jioni wakuu
Napenda kuwapa taarifa kuwa sikopeshi mwanamke yoyote hela yangu tena. Kusema kweli sijawahi kukutana na shida ya kurudishiwa hela yangu kutoka kwa mwanaume mwenzangu (niliowakopesha mimi) ila kwa wanawake yamenifika kooni. Hadi uwe mkali ndo upewe hela yako.
Nimekopesha...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na kutoa msimamo rasmi wa Chama. Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Freeman Mbowe...
Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African).
Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya?
1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa ila rafiki ukimpenda mtu asiyekupenda mnaweza kukaa mtaa moja au sehemu moja, swala la kuonana mtihani kila siku pruu pruuu wala hana hamasa ya kuonana na wewe na mawasiliano umuanze
Akikupenda swala la kuonana na...
Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.
Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea...
Tanzania ushoga upo na kama hili swala halitadhibitiwa mapema yawezaka ikachukua kizazi kizima (wastan wa miaka 100) kutokomeza kulithibiti
Siku hizi wana majina yao wanajiita watoto wa kimjinimjini wapo TikTok, telegram, Facebook na Instagram.
Zamani kupata mtoto wa kiume ilikua furaha...
Jk alikuwa na utaratibu mzuri sana kila mwaka husika anaajiri walimu au madaktari wote waliohitimu huo mwaka kiasi ambacho kulikuwa kuna scarcity ya watu mtaani na ikapelekea private sector lazima watoe mishahara mikubwa ili kumconnvince mtu asiende serikalini.
Sasa lilikuja likaharibu kila...
Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata kusababisha huzuni. Kwa mawazo yangu, suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni mila ya kizungu, si mpango...
Habari za muda huu wanajukwaa?
Ipo hivi niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mshichana mmoja anayetokea ukanda wa kaskazini, msichana huyo pia alikuwa akisoma chuo kimojawapo huko Arusha.
Sasa kilichokuwa kikinishangaza licha ya tabia yake kuwa njema na mcha Mungu mzuri lakini bado wazazi wake...
Mzuka?
Naomba niulize wana jukwaa
kuhusu swala la overtime kwenye ajira.
Hivi overtime huwa inakuwa na makato yoyote kama Nssf au mwajiriwa anatakiwa apewe overtime yake kama ilivyo? kabla sijajichanganya kwa gabachori naomba nieleweshewe.
Wanaukumbi.
ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.
Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.
Mvutano unaongezeka huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.