swala

  1. pachawako

    Hivi suala la mafuta kuwa machafu na masafi baadhi ya sheli lina ukweli ndani yake? Kuna madhara gani?

    Habari wana JF, swali langu linalenga watumiaji wa vyombo vya moto. Je, ni kweli mafuta machafu yapo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta au ni uzushi tuu? Na kama ni kweli kuna mathara gani unapoweka hayo mafuta kwenye chombo cha moto?
  2. Komeo Lachuma

    TBT: Video Sheikh Saleh Zagar: Kunadi Swala asubuhi ni unafiki anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi

    Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili. Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti.
  3. C

    Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  4. D

    popat c.e.o wa azam fc ni swala la muda kupewa majukumu mengine

    A lot of high-ranked members in Azam FC are calling him off the Azam FC project. He has proven to be a failure each and every season, despite creating a lot of talented youth teams. Possibly, he will be given the Azam FC youth team to run. As of today, Azam FC will be hunting for a new CEO to...
  5. Mtanzania wa USA

    Huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwatapeli baadhi ya Watanzania

    Mnaona wana jamvi, Na team ya JamiiForum hebu angalieni hili swala la huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwapiga za uso baadhi ya Tanzania kwa kuwapiga na uhuni wa utaperi wa uwekezaji hali anaacha familia nyingi za Kitanzania zikiumia na hakuna mtu wa kufichua hili swala. Jamiiforum kimnya TBS...
  6. covid 19

    Kwanini polisi imekuwa na kigugumizi kuhusu hili swala la huyu binti aliyefanyiwa ukatili na wanajeshi wale.

    Hilo tukio lina zaidi ya wiki sasa ila sijasikia polisi ikitoa taarifa za kuwafikisha mahakamani watuhumiwa hao zaidi nimesikia mtu mmoja aliyeshikiliwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uzushi juu ya binti aliyefanyiwa ukatili huo. hii kitu haijengi taswira nzuri kwa vyombo vyetu vya usalama na...
  7. M

    Mtende haki, Mficha ukweli

    Swala Surah An-Nisa (4:58): "Hakika Mwenyezi Mungu anawaamrisha mtende haki, na kuweka usawa na kuwa na uwajibikaji katika mambo yote. Na kuwa na uaminifu kwa wale walio na dhamana, na kutenda kwa haki kati ya watu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda walio na haki." Surah Al-Baqarah (2:81)...
  8. PakiJinja

    Hili swala la wanaojiita wazee wa Yanga, fungujeni akili…

    …Yanga ni kama kuwaweka watu sawa, ukweli ninachokiona mimi kuna kitu kikiubwa kinaenda kuwashukia timu nyungine. Kinachoenda kutokea huko kitasikitisha sana. Natamani kushauri, lakini sioni namna wanavyoenda kusalimika. Itoshe tu kusema kwamba, Uhuni unapaswa kudhibitiwa kwenye vilabu vyetu
  9. covid 19

    nimefatilia maandamano ya kenya nataka niwaambie ni swala la muda tu hiki kinachotokea Kenya kitaambukizwa Tanzania, Uganda, na nchi nyingine jirani

    ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo...
  10. BLACK MOVEMENT

    Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

    Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea. Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
  11. Kwekajr

    SoC04 Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikal ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali

    Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikali ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali yanayofanywa ili kubadili mtazamo wa vijana ambao ni nguvu ya taifa ikiwemo kuanzisha somo la ubinadamu, Somo hili lifundishe utu, maadili, uzalendo...
  12. J

    Serikali litazameni hili suala kwa umuhimu wake kutetea maslahi ya watu wa chini

    Kwa Wamiliki wa Mitandao ya Simu na Serikali, Katika dunia ya leo ambapo mawasiliano ya simu yamekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, ni muhimu kuhakikisha kuwa wateja wana taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu mabadiliko yoyote yanayohusu bei na vifurushi vyao. Kupitia jamiiforum Mimi kama...
  13. third eye chakra

    Mchakato wa kuamka kiroho sio suala la siku moja, hivyo tudumu kufanya meditation sana ili tupate kusudio letu hapa duniani

    1.Nataka Nisaidiwe Kuamsha/Kuzindua Kundalini Gharama Shilingi NGAPI? 🗣️JIBU;- Kuamsha Kundalini Hakuna Atakae kusaidia Si mchawi wala mganga Wala mtabiri Wa Nyota, Hakuna Dawa wala Pete ya kuvaa Itakayo Kusaidia Kuamsha Kundalini. ✍️Hii Ni Nguvu Yako mwenyewe Ipo Ndani YAKO, Mwenye Jukumu La...
  14. S

    Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Habari wanajamvi, Nisiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda bei kutoka mia tano hadi mia 6 yaani kimahesabu vocha zimepanda bei kwa asilimia 20, This is daylight robbery and no one care. Nikahisi labda Umakambako unansumbua aka...
  15. Kaka yake shetani

    Swala la michezo Wana JF naomba mtoe maoni hapa

    Kulikuwa na mashindano ya kikapu ambayo chini umri 16.Washirki wawili walikutana ambao USA na el salvador's . Matokeo USA alishinda kwa vikapu 114 huku El salvador's 19. Umejifunza nini hapa kuhusu michezo
  16. sangaone98

    Wakati vijana wanapambana na swala la kutafuta ajira au kujiajiri

    Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume. Mambo yamegeuka kabisa. Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date. Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
  17. S

    Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

    Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama Lushoto, Moshi, Dodoma, Kahama na Morogoro na nimebahatika kutembelea kwa sana mikoa ya Dar, Arusha...
  18. Mag3

    Kumekucha, ni suala la muda tu. Taratibu sote tutaelewana na kuongea lugha moja!

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli. Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize...
  19. TZ-1

    Suala la bima ya Afya kwa pamoja

    Habari wana jamvi, naona bunge na Serikali ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuweka mazingira ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima. Kwakuwa ni shirika moja ndio linalotegemewa (NHIF) kwenye hiyo bima ya pamoja kwa watanzania wa maisha ya kati na chini zinaweza tokea changamoto hizi:-...
  20. Pekejeng

    Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
Back
Top Bottom