Ndicho nachoweza kusema, machozi ya Watanzania kuhusu kero mbalimbali kwa sasa hayana mtu wa kuyafuta. Sio watawala, sio wapinzani, sio taasisi za kidini Wala yeyote yule. Watanzania tunapigwa bakora za ukosefu wa maji ya uhakika,kupanda kwa gharama za maisha(sukari) kupanda kwa bei za vifurushi...
Sasa kwa mfano hapa, wameshatoa azana kisha wameamua kuweka audio ya sheikh anazungumzia mambo ya ndoa ya ndani kabisa, kwa nature ya audio inaonekana kilikua cha wanawake tu tena watu wazima ila hapa imewekwa kwa nguvu kabisa1 asubuhi hii.
Mbona misikiti mingine hawafanyi hivi? Mbona waislam...
Ndugu Dotto Mashaka Biteko
Najua utakuwa kanda hii ya Ziwa maana jana ulikuwa Bukoba kwa wakatoliki.
Nakuulizaa tuu umeshindwa kabisa hili swala la umeme
samia SULUHU HASSANI Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Wewe ulikuwa Serikalini
Dr. Medrard Kalemani alikuwa waziri kwenye serikali...
Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua.
Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa.
Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha.
Phiri kaja...
Jeshi La Ulinzi na Usalama ni kwaajili ya wananchi. Kauli ya Jeshi kufanya usafi baada ya tangazo la maandamano ni mara ya pili sasa, hii ni kwaajili kuwapa hofu wananchi katika kuandamana.
Tunajua Maandamano yanamadhara yake makubwa lakini Jeshi la Ulinzi na Usalama tunaomba msimame kulinda...
Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji.
Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa. Na sisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi...
Ni wakati wa kubadili mwelekeo kukomesha ubaguzi wa kimfumo, ni muhimu kwa nchi kupitisha "ajenda maalum ya mabadiliko ili kung'oa ubaguzi wa kimfumo juu ya ukiukaji wa haki za kibinaadamu, kiuchumi, kijamii, kitamaduni, kiraia na kisiasa unaowakabili watu wa asili ya mkoa wa Kigoma.
Mijadala...
Haya , huyu nae kala miaka 20 Jela kwa kukutwa na maini ya Swala aliyoyanunua kwa shs.1,000/=
Mwingine miaka 22
https://www.jamiiforums.com/threads/picha-ya-uso-wa-mtu-aliekata-tamaa-ya-kuishi-baada-ya-kuhukumiwa-miaka-22-jela.2155829/
CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria.
Hukumu hiyo ilitolewa...
Kamwe kuvunja danguro hakuwezi kutokomeza biashara ya ukahaba Tanzania, huu ni ukweli ulio dhahiri kabisa, jambo hili la kudanga lipo mioyoni mwa watu hata kama tukibomoa miundo mbinu ya watu bado tunahitaji kushughulika na ufahamu wa watu, mnabomoa madanguro wao watakuwa wanaranda barabarani...
Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia...
Kuna jambo katika nchi yetu lipo mtu akijiona mfupi au kuwa mlemavu anaamini yeye safari yake ya MAISHA haitokuwa na MAFANIKIO hii sio Kweli ni upotovu.
Katika MAISHA ili ufanikiwe unahitaji zaidi utimamu wa kiakili na kulivaa tumaini hata wakati Akili yako na Mwili vitakapokuwa havina Nguvu ya...
Chadema ndio chama kikuu cha upinzani,but they are abdicating their responsibility. Ni kazi yao kuwakaribisha watu wote wanaoipinga serikali. Sasa inawakuwaje Sauti ya Watanganyika inawataka wadhamini mkutano wao,Chadema haitaki kuhusika?
Siyo kila mtu anataka DP World wapewe bandari zetu...
Naamini tunafanyiwa hujuma kwa sababu nishati ya umeme ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi.
Tanzania ina kila kitu cha kulifanya Taifa hili kuwa moja ya Mataifa makubwa kiuchumi baada ya Misri,South Africa na Nigeria lakini bado tupo nyuma.
Hapa tulipo kiuchumi sio sehemu yetu tunapaswa kuwa...
Kuna Kaka yangu mmoja kutoka kwa Baba mkubwa alizaa na mwanamke mmoja miaka kama 12 hivi iliyopita. Ila hawakufanikiwa kuwa pamoja baada ya mtoto kufikisha miaka 4 mama yake alimleta kwa Baba yake na kumpa na kumwambia yeye anaolewa kapata Bwana mpya.
Basi kaka yangu huyu akamchukua mtoto wake...
Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini.
Rais Samia...
Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela.
Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya....
Hivi siasa ni nini na dini ni nini?
Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini?
Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi?
Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani?
Na siasa je, inafanyikia wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.