swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Swali: Je, tarehe 17 siku ya kumkumbuka shujaa wa Africa ni sikukuu ya umma.? Na sisi watumishi hatuendi kazini?

    Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima.
  2. Tafadhali sana piga kura yako hapa: Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi? Ndio au Hapana

    Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda." Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo? Jibu NDIYO au HAPANA Maelezo ya Upigaji Kura: Huruhusiwi kubadili jibu lako...
  3. Pre GE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  4. S

    Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
  5. Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji. Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao...
  6. Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

    Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani. NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito...
  7. Huwa unajibu vipi swali " nikwambie kitu"

    Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa 1. Nimeishiwa luku nyumbani 2.mama ni mgonjwa 3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k 4.nina safari...
  8. M

    Swali kwa mwanasheria wa chadema

    Akina mdee wanasema wao ni wanachadema halali. Toa kauli yako. Maana watanzania wanaona kama wamefukuzwa. Usiwe kama Lissu mwisho unakuja kulaumu wengine wakati jukumu hilo ni lako
  9. Kati ya Mbunge (MP) na Mkuu wa wilaya (DC) yupi ana mamlaka zaidi?

    Kwema wakuu Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi? Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya...
  10. Swali kwa wanawake

    Kuna picha nyingi hivi sasa kwenye social media wamama na wadada wakifanya hivi 👇 je mnamaanisha nini?
  11. N

    Wanaume jibuni hili swali

    Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
  12. Kama mzazi, binti yako ndio amekuja kukuambia kuwa amepata mchumba, ni swali gani la kwanza utamuuliza binti yako?

    Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
  13. M

    SWALI KWA WATU WA MANUNUZI SERIKALINI.

    Kuna mdau anauliza ikitokea mkandarasi alisaini mkataba wa kujenga kilomita 50 za lami labda kutoka Njombe kwenda Ludewa baada ya kufika site anaona mbona kuna njia ya mkato naweza kupunguza kilometa kutoka 50 hadi 48 au 49 na nitaserve almost 3bil.Je hapo serikali itakuwa imelipa kilomita 49...
  14. M

    Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

    Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
  15. T

    Mnyika agoma kujibu swali la Wasafi Media, walitaka athibitishe kama Mbowe ni muongo

    Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa rahisi sana. Kwa mtu kama katibu mkuu wa chama sikutarajia azingue kizembe kama vile!
  16. Swali fikirishi, ni kwanini Mbowe anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani?

    Wasalaam Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea...
  17. Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

    Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo kutokea UAE huwa najiuliza hilo swali, hivi sisi waafrika weusi tungepewa huo utajiri wa mafuta, je...
  18. K

    Swali kwa wafuasi wa Mbowe

    Je kwa nyakati hizi za sasa za Polisi, Usalama wa taifa wa kujihusisha moja kwa moja na chaguzi na kunyima demokrasia. Kuna mbinu gani tofauti Mbowe akiwa mwenyeti kwa miaka mitano atazitumia ambazo ni tofauti na mbinu alizozitumia kwa miaka 20? Hii itasaidia kujua kusudi lake hasa la kugombea...
  19. "Kwanini ulinizaa?" Unafikiri ni swali sahihi kwa mtoto kumuuliza mzazi hilo swali?

    Habari wakuu, Natumai mu heri na buheri wa afya ya mwili sambamba na akili. Mkihusika na kichwa cha mada hapo juu isemayao.. "Kwanini ulinizaa?" Unafikiri ni swali sahihi kwa mtoto kumuuliza mzazi hilo swali?? Ikiwa mtoto ama binadamu sote hatupati nafasi ya kuuliza kwanini tunazaliwa au...
  20. Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

    Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri? Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷‍♂️]. Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…