swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trainee

    Nilimuelewa yule kijana swali lake kwa Dr. Zakir Naik na namuomba apitie humu namsaidia majibu yake

    Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu. Kuna kijana alipewa nafasi ya kuuliza swali akataka kujua ufafanuzi wa aya na inaonekana alikusudia aya mbili za surat naml (27:39-40). Kijana yule kwanza nampongeza maashaallaah anajua kusoma quran, alianza kwa kuzisoma hizo aya na bahati mbaya akaishia aya...
  2. C

    Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Hbr wana JF, Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua...
  3. Bullshit

    Swali kuhusu Tawhid na Ufunuo

    1. Ikiwa Mungu ni mmoja na hana mfano, kwa nini Qur'an inatumia wingi wa "Sisi" katika baadhi ya aya zake? (mfano, Qur'an 15:9). 2.Qur'an inasema kwamba ni mwongozo kamili (Qur'an 16:89). Kwa nini kuna haja ya Hadith kuelezea baadhi ya maelezo ya dini? Asante
  4. Udart

    Wavuvi kuna swali hapa naombeni majibu yenu

    Heri ya mwaka mpya . Leo katika pita pita zangu mitandaoni nilikuwa naangalia mambo ya uvuvi swali langu Kwa wavuvi kwanini wazungu akishika wavu akarusha kwenye mto,ziwa ,bahari huya anatoka wavu ukiwa na samaki kama mchanga Lakini wavuvi wa kibongo anaweza kutupa...
  5. Hammer11

    Waislamu, nina swali

    Mwaka 2021 alipo kufa kiongozi wa nchi afande sele Alimtukana mungu akina kishki sure kipozeoo wanaojiita mashekhe walimsomeaa dua jee afande alikufaa? Au Allah hana uwezoo
  6. sanalii

    Tuelewane: Hakuna mwenye hati miliki ya Yesu Kristo

    Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive. Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo. Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa...
  7. OMOYOGWANE

    Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

    Eeeh wakuu mpo? Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au alichoeahi kukiona Majini ni nini? Majini kiroho ni viumbe hai wanaoweza kuishi ndani ya mwili wa...
  8. Cassnzoba

    Swali la kizushi: Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini?

    Wakuu Merry Christmas kwenu Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini??🤔🤔😅😅 Kwangu Mimi nilikuwa najua ni wazee wa kubaka tu😅 yaani wao wakikukuta kwenye 18 zao hamna maelezo wao ni Wanakubaka TU. Vipi kwenu wakuu??
  9. chiembe

    Swali la ufahamu; kwa kuwa Mchungaji Magembe anakiri familia yao walikuwa wachawi balaa, kuna uhakika gani kwamba yeye hakurithi?

    Nimekuwa nafuatilia habari za mchungaji Magembe, na kuna mahali alitoa historia ya familia yao kwamba walikuwa wachawi balaa. Je hakurithi? Nani ana uhakika? Na Je ndio chanzo cha ugomvi wake na Kanisa labda wenzake wanataka arudie asili?
  10. KABAKA28

    ChatGPT ameshindwa swali langu?

    AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi. Au uwezo wake umeishia hapo?
  11. R

    Swali: Mbinguni Kuna sikukuu ya Christmas 25 December?

    Salaam, Shalom! Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba; (Mathayo 6:10) "Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni " Swali no 1. Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni? Swali...
  12. Daby

    Swali linaloumiza wanaume kichwa: Babe can we talk/Nataka leo tuongee!!!

    Mkeo au mpenzi wako akikuambia muongee huwa unawaza nini? Najua hili ni swali linalochukiwa na wanaume walio wengi. Tuambie huwa unawaza nini? Binafsi mimi huwa najua shida ni hii simu yangu maana ndiyo huwa inaniletea matatizo kila kukicha. Nikiskia tuongee tu najua basi kuna kitu...
  13. Yoda

    Lissu aseme pia pesa alizotaka kupewa aliambiwa ni za nini au kwa lengo gani?

    Kwa sababu Lissu amekuwa anafunguka sana kwa vyombo vya habari na ameamua kuweka wazi mambo yote ndani ya CHADEMA waandishi wa habari sasa wamuulize Lissu pesa zinazosemewa alililetwa na Abdul ambazo anaambiwa wengine walizichukua waliambiwa ni za nini. Ili story ikamalike na iweze kuunganika...
  14. Mwachiluwi

    Swali kwenu wanawake

    Mambo vip! Nina swali kwenu wanawake mwanaume wako au mumeo akitaka kuoa mke wa pili yaani kuongeza mke wa pili na wewe ukiwepo hana nia ya kukuacha je utalipokeaje ilo jambo au utalitafsiri vipi? Na je ni bora aoe mke wa pili uku amekupa taarifa au bora asikupe taarifa? Mamndenyi Mama Mwana...
  15. Bullshit

    Swali kwa ndugu zangu Waislam

    Ikiwa Mitume wote walitumwa na Mungu, kwa nini kuna tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Yesu (ambaye anatambuliwa katika Uislamu) na Nabii Muhammad? Yesu katika Uislamu anatambuliwa kama mtume wa Mungu lakini mafundisho yake katika Injili (kama vile upendo kwa adui na msamaha) yanatofautiana na...
  16. JamiiCheck

    Swali la Siku:Jambo gani wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unahisi halikuwa la Kweli?

    Novemba 27, 2024, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulifanyika, ukiambatana na matukio ya aina mbalimbali, yaliyokuwa ya Kweli, huku mengine yakitia shaka kuhusu Uhalisia wake. Mdau, je, ni jambo gani hasa, kuanzia hatua ya kutangaza nia kwa wagombea hadi mchakato mzima wa uchaguzi, unahisi...
  17. G

    SWALI: MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI

    Ndugu Habari za majukumu? Mwenye uzoefu tafadhali, Je nikiasi gani cha weza kutumika kujenga nyumba yenye frame 3, ikiwa na sifa hizi. upana wa frame uwe wa wastani tofali za block bati za kawaida floor ya cement ceiling board ya kawaida Naomba kuwasilisha.
  18. G

    Boniface Jacob: CHADEMA ni taasisi imara, hata mimi naiogopa kwa ukubwa wake, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu

    Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani; "CHADEMA ni Taasisi imara ambayo imejikamilisha, (mimi) CHADEMA ilivyokubwa mpaka naiogopa, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu, kwasababu najua wana CHADEMA sina cha kuwatisha wa kuwababaisha"
  19. Daby

    Swali: Je, Kuna uhusiano wa maendeleo na Dini?

    1. Wamarekani asilimia 63 ni wakristo. 2. China asilimia kubwa ni Buddhists na Taoism. 3. Japan asilimia 70 ni Shintoism. 4. Israel asilimia 70 na raidi ni Jewish. 5. Saudia asilimia 90 na zaidi ni waislamu. 6. India zaidi ya asilimia 70 ni wahindu. Qatar ni nchi ya kiislamu Ina maendeleo...
  20. hp4510

    Swali Kwa wanazuoni Kwa Dini ya Kislam na Waumini wa Dini Hiyo

    Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa? Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa 11 kasoro but now days naona mambo ni tofauti Adhana inaanza saa Tisa na nusu, then saa kumi...
Back
Top Bottom