Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa.
Je, athari gani unazozijua?
Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za actuarial science na eti mapitio ya pensheni hufanyika kila miaka 3. Ukweli ni kwamba ktk kipindi...
Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii
Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani umewahi kuisikia kuhusa chakula ambayo unahisi ni Potofu?
Naomba msaada wenu wana JF Huyu kijana sijui hili swali kilitoa wapi, ameniuliza mwalimu aliingia darasani akasema "Kama jana ingekuwa kesho, basi leo ingekuwa ni Jumamosi" Mwalimu alizungumza maneno haya siku gani?
Mwenye majibu ya swali hili fikirishi tafadhali ashuke chini hapo, nisije...
Habari za leo;
Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine.
Watu wengi na baadhi ya maandiko ya kisayansi na kiimani husema kwamba binatamu ana sehemu tatu zinzocontrol ubinadamu wake. Ambazo ni...
Salaam
Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu.
Hivi ni kweli haya matangazo matangazo ya makampuni ya simu mnayoyaweka kama sponsored ads ndio...
Na. M. M. Mwanakijiji
Nakumbuka zamani kulikuwa na watu wachonganishi - najua bado wapo. Watu hawa kwa asili yao wanapenda ugomvi na wakati mwingine wanachochea ugomvi unoge ili wao wafaidike kwa namna fulani. Wanaweza kumfuata na kumuambia mtu:
"Aisee unajua jamaa anasema we ni wa hovyo...
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
Salaam wakuu.
Kwenye mada moja kwa moja.
Kwanini anga ni la BLUE kukiwa hakuna mawingu nyakati za Mchana na JEUSI nyakati usiku.
Wanasayansi njooni.
NB; Najua kuna wengine watasema ni reflection ya maji sababu maji ndio sehemu kubwa ya Dunia hii (sasa maji si ni colourless) kwanini lisiwe la...
Habari ya Sunday
Mimi nimekuwa nikijaribu kutafuta gari kwa ajili yaatumizi ya ngu na napendelea minivans. Nikawa natafuta mtu anayeuza hilp gari bongo ili ninunue. Lakini ñayapata mtandaoni hàya magari yanauzwa bei ndogo sana. Ni kama thamani yake inashuka haraka kuliko mfano Noah na Alphard...
Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake utakuwaje akirejea akapata Uthubutu wa kunipa Mimi GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 50 za Kitanzania na...
Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi?
Ikumbukwe kule vyuoni Kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakifanya mapenzi kiholela katika vitanda vya...
Swali lililoulizwa ni hili: https://www.instagram.com/p/DAJNUqTNURq/
======
Majibu yangu
Ndio, mara nyingi hukutana na taarifa ambazo zinaweza kuwa potofu, hasa kwenye mitandao ya kijamii au vyanzo visivyoaminika. Ili kubaini ukweli wa taarifa hizo, mbinu mbalimbali hutumika:
1. Kuthibitisha...
Je, mnataka kuzulumiwa?
Je, mnataka tukope tuwakimbie?
Je, mnataka tusiwalipe?
Je, mtatushtaki wapi?
Je...
Je....
Je...
Embu acheni hizo bwana msitake tukope tuanze kuaibishanaa kwenye msg pls
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.