swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

    Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tiketi ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro! Swali langu kwako, ndani ya treni wamo wafanyakazi wengi wa TRC wakiwemo mashosti, je, ni vipi shirika...
  2. BARD AI

    Ukipata kazi inayokulipa zaidi yetu utaacha kazi hapa?: Unajibu vipi swali hili kwenye Interview?

    Katika usaili wa kazi kunakuwaga na maswali ya mtego sana. Mfano ndio umeulizwa hivyo sasa unawajibu vipi ili usikose hiyo kazi?
  3. Vincenzo Jr

    Swali kwa tabaka la watawala: Toka mpate akili timamu

    Panga pangua kwenye mabaraza ya mawaziri,makatibu wa wizara n.k , Limewahi kuleta kitu gani chanya Au mnataka kuteka attention ya watu tu
  4. Mi mi

    Swali toka mtandaoni

    Foreign policy. Hali ya mambo ingekuwaje ?
  5. Money Penny

    Swali: Mwali ni nani?! Je kuna mwali wa kiume na kike?

    Mwali ni msichana ambae hajaguswa Ukimpiga ziwa lake ni gumu kama skonsi Huyo ndio mwali wa kike Mwali wa kiume ni nani? Mwali wa kiume ni mwanaume ambae bado hajaguswa Hata ukimwuliza gololi zako zinaoshwa na mchanga, maji, maziwa au maji ya ndimu, atakujibu ndio nini! Kwako wewe tujuze...
  6. THE FIRST BORN

    Simba kwa Jana siwadai ila swali ni Je mtaendelea hivo na Matches zingine?

    Kuwazungumzia Yanga ni kujipotezea mda wale wao hawashuki na hakuna mtu ana hofu juu ya hilo. Issue ipo kwa Simba, For real Jana Mtani umeupiga sana japo ilikua tu lazima Ufe na nilisema mi jana kwenye uzi wangu hivi kua Mhindi hua hatoi odd kijinga..ilikua lazima ufe. ILA MMCHEZAVIZURI.. But...
  7. M

    Swali kwa wasiokuwa waislam? Haya hamutaki kuyapata?

    Mithali 19:20 (Biblia ya King James) MAISHA BAADA YA KUFA Katika Uislamu, maisha baada ya kifo yanaelezwa kwa maelezo mawili makuu: Pepo (Jannat) na Moto (Jahannam). Hali ya maisha ya mtu baada ya kifo inategemea matendo yake, imani yake, na tabia yake. Pepo (Jannat) Picha ya Pepo: Hali ya...
  8. Pascal Mayalla

    Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  9. GENTAMYCINE

    Nimejiuliza sana hili Swali, ila sijapata Jibu sana sana naona najikuta Nacheka tu kila nikilifikiria Kichwani mwangu

    Hivi Siku mara paaaaap kwa bahati mbaya Sura zetu zote zikaonekana kwa dakika kama tano ( 5 ) katika Simu na Laptops zetu ambazo tunazitumia Kuchati au Kuandika mambo yetu mbalimbali hapa halafu Wote tukajuana kuwa kumbe ID ya fulani ni fulani itakuwaje baada ya hapo? Ninayoyahisi........ 1...
  10. Equation x

    Swali fikirishi kwenye ajira

    Kwa hizi nchi zinazopigana vita nyakati hizi; Ukraine, Urusi, Israel, Palestina, Lebanon n.k Nyakati hizi, kuna wanaoenda kuomba kazi za jeshi kweli? Je wakileta maombi kwa vijana wa kutoka Afrika waende wakaajiriwe kule, wapo watakaoenda?
  11. M

    Je, kauli ya Makonda kuwa kuna Mawaziri wanamtukana Rais ndio imesababisha kuchaniwa mikeka?

    Nadhani hii kauli ilikuwa na kaukweli Kwa mbali ila wahusika walitafutiwa TU timing. Pia soma Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia
  12. E-Maestro

    Karibu Kujifunza Kuhusu PMP® Prep Training! - ULIZA SWALI LOLOTE!!

    Habari wanajamii, Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class. PMP® ni nini? PMP® ni cheti cha kitaalamu kinachotolewa na Project Management Institute (PMI). Ni cheti kinachotambulika duniani kote na...
  13. Mzee Mwanakijiji

    Swali la Ugomvi: Tuseme tu Hawana Uwezo?

    Na. M. M. Mwanakijiji https://youtu.be/R6TiVOZZZj4?si=iM4J0sv3gbtjSNmI Waliitwa vijana...nakumbuka walipotumbuliwa nilisema ni ujana tu unawasumbua. Nikasema warudishwe labda wamejifunza. Tukaseme wapewe nafasi tena Alipokufa JPM hawakuficha hisia zao kuonesha hasimu kaondoka na wala kupima...
  14. T

    Swali kuhusu ajira hizi mpya za Utumishi

    Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024 Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi cha kuendesha interview kila mkoa
  15. Dr Matola PhD

    Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?

    Hili ni swali kwa Malegendary na kwa wanawake smart kichwani, hivi imefika hatua mwanaume unaona dhahiri kwa sababu zako binafsi na za msingi mke wako apate msaidizi, ni mistari gani ambayo mwanamke anaimbishwa mpaka anatowa kibali? Tafadhali hii siyo thread ya mahubiri, tujikite kwenye mada...
  16. Cassnzoba

    Swali kwenu wakuu

    wakuu Za jioni.......... Leo nimefikiria nimeona niwaulize na nyie, hivi kile tunachokionaga kinapaa angani Huku kinatoa moshi nyuma ni ndege au roketi??? Niko apa kuwasikiliza, Nawasilisha.
  17. Mzee Mwanakijiji

    Swali la Kimkakati: Kwanini Tanga Isiunganishwe na SGR?

    Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
  18. Powell Gonzalez

    Nina swali kuhusu DSE( Dar es Salaam stock exchange)

    Habari za muda huu wakuu, mimi nilikuwa na swali kidogo kuhusu DSE. Hasa kuhusu namna ya kujisajili na namna ya kupata brokers. Mwishoni mwa mwaka jana nilijisajili na nahisi nilitumiwa baadhi ya taarifa ambazo (kutokana na kutokuwa makini) nilizipoteza. Nikajaribu kuforget password system...
  19. Masaki road

    ASALAAM ALAYKUM,, NDG zangu Nina swali. Juu ya mjamzito na matibabu yake anapoumwa akiwa ameanza clinic.

    Nianze na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema. Ndugu zangu nauliza Kwa mjamzito ambae anaendekea na clinic akiumwa magonjwa yahusianayo na ujauzito wake je matibabu yanakuwa yanalipiwa ama yanakuwa free kama nilivyoskia kwamba wajawazito wanatibiwa bure Mwenye taarifa sahihi anielekeze...
  20. Medecin

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
Back
Top Bottom