swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Najiulizaga swali hili

    Kwema Wakuu! Kuna mambo yananishangazaga sana. Mpaka wakati mwingine najiuliza kwa NINI ipo hivyo. Mimi ninatabia sijui niite ya ajabu au ya namna gani. Iko hivi; Mimi sionagi shida mtu akiniita Mjinga, akiniona hamnazo, akiniita hata majina ya namna yoyote Ile. Kwangu sioni shida. Yaani...
  2. Baba wa mbingu

    Wana JF kuna 15000Tsh kwa atakaejibu swali hili.

    Toa\taja tofauti tano (5) kati ya 1)Aliyeona akikusimulia na, 2)aliyesikia akikusimulia Mimi nitaanza kwa kujibu tofauti ya kwanza. A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA 1.Alikuwepo eneo la tukio 1.Hakuwepo eneo latukio 2. 3. 4. 5.
  3. B

    Swali kumhusu Lissu lamkera Katibu Mkuu DP

    Clip inajieleza wazi: Kulikoni kiongozi huyu kukasirishwa mno na swali hili?
  4. SweetyCandy

    Naomba niulize swali kwenu

    Heri ya Maulid waislam wote na nadhani mmekula chakula kitamu nakuenjoy Eti mtu aliyezaliwa 1989 mpaka 1995 na hawajaolewa mnawaitaje? Maana nimekuta hii video https://vm.tiktok.com/ZMh8XnhSP/ Niambie
  5. KJ07

    Swali kwa wanasimba

    Naomba nilielekeze swali hili kwa viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa, wafiatimu, mashabiki wa Simba Sports Club. Mmejipangaje na shirikisho msimu huu. Hivi mnajua kuna kutolewa kwenye mashindano hayo. Mtaliambia nini taifa siku yakiwakuta ya wana lambalamba na wagosi wa kaya. Sioni...
  6. Brojust

    Nina swali Hapa jamiiforums, Hivi kwanini mtu akidanganya au akisema kitu kinachoashiria uongo mnasema CHAI ?

    1. Chai (uongo) asili yake ni nini ? 2. Kwanini mliwaza chai pale mtu anaposema uongo ? 3. Kwani chai na uongo vina uhusiano gani ? NB: Nasikia ubongo wa binadamu unaogelea kwenye fluid fulani sijui inaitwaje na haujawa attached kwenye kitu chochote. Ahsante.
  7. tpaul

    Swali la kufikirisha: Kwanini wapinzani na wanaharakati tu ndio wanauawa na "wasiojulikana"?

    Tangu kazi ya kuteka na kuua raia ianze katika nchi hii, sijawahi kusikia kada wa CCM kapotezwa na kukutwa ameuawa. Ijapokuwa mauaji kwa njia ya kuteka yalikuwepo tangu awamu ya kwanza lakini nimejaribu kuvuta kumbukumbu zangu sijapata jina la kada hata mmoja wa CCM aliyewahi kutekwa na kuuawa...
  8. GENTAMYCINE

    Kama Mtanzania ukiulizwa hili Swali na ama Raia wa Kigeni nchini au ukiwa Nje ya Tanzania utamjibu vipi?

    Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo. Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu? Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao...
  9. Superbug

    Swali kwa Spika na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

    Je bado spika na bunge lake wanaamini watanzania wako salama dhidi ya utekaji? Je spika una maoni gani tunaomba tamko la wabunge wetu kupitia bunge kuhusu usalama wa watanzania dhidi ya watekaji. Mods msifute wala kuunganisha uzi huu hili ni swali la raia kwenda kwa mamlaka yenye dhamana ya...
  10. Idugunde

    Swali fikirishi: Zama za Iddi Amin na kaburu Peter Botha zimerejea Tanzania?

    Kwamba sasa hivi ndugu yako akiitoweka na watu wasiojulikana hautamuona tena au utakutana na maiti yake. Mbona hapa kwetu haya mambo hayakuwepo? Hata kama yalikuwepo sio kama hivi. Style ya special branch ya makaburu. Style ya State research bureau ya Amin.
  11. IBRA wa PILI

    Swali kuhusu hizi picha

    Je wanatumia program/ application gani ku create hizi pc wakuu??
  12. Mike Moe

    Naomba kuuliza swali kwenu mawakala wa mitandao ya simu

    Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa. Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala. Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
  13. M

    Mwenendo wa Tundu Lissu na Lema unatia mashaka CHADEMA hivi sasa

    Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi. Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema. KUNANINI?
  14. G

    Mnaokesha au kulala sehemu za kunywa pombe huwa mnakunywa tu au kuna mahusiano ya ziada ya kimapenzi na ni ya aina ipi?

    Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani. Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
  15. kibori nangai

    Ivi polisi mnawachukuliaje CHADEMAA SWALI KWENUU

    Polisi mnawachukuliaje CHADEMA na wanachama waoo. Kwa taarifa ya Leo Nimesikitika sana
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko Amuuliza Swali Waziri Mkuu, Maelekezo Yatolewa Halmashauri Zote Nchini

    ESTHER MALLEKO AMUULIZA SWALI WAZIRI MKUU, WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 29 Agosti, 2024 amemuuliza swali bungeni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ambaye...
  17. M

    Pre GE2025 Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliza swali gani?

    Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliz swali gani? Huenda wengi tuko na maswali ambayo tungehitaji kuyauliz kwenye tume ya uchguzi ila hatujui tunayauliza wapi. Basi ni vyema tutumie uzi huu kuyauliza hyo maswali, mimi nawaomba Mods wayakusanyanye wawape tume ya...
  18. Mzee Mwanakijiji

    Swali Muflisi: Kwani Hawa Walitoka Wapi?

    Na. M. M. Mwanakijiji Tanzania imewahi kukumbwa na kashfa kubwa tu zilizokuwa zinahusisha mali ya asili au mali ya umma (Hakuna mali ya serikali). Kashfa kubwa zaidi ambazo zilizizima katika taifa letu zilianza miaka mingi nyuma lakini hakuna ambayo iligusa akili na fikra za Watanzania kama...
  19. haszu

    Swali langu: kwani mwanaume hawezi kua na maumbile mazuri? Kwanini kila attribute nzuri inaambiwa ni “ya kike”?

    Kuna vitu vinachosha sana. Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri), Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke. Sasa kwani wanaume ndo wameumbiwa kua na vitu vibaya na vya rough? Ni bora ukae kimya kuliko ku compliment mtu kwa style...
  20. Manyanza

    Swali la siku by Mpaji Mungu

    Mzee mwenzangu Mpaji Mungu umeuza kwenye Meme za Jamii Forums kule telegram channel ya Jamii forums. Nimeweka hii Meme tupate majibu. Ms R jibu hilo swali🤣🤣🤣🤣 Nina box la zawadi yako hapa au tukupe mji?
Back
Top Bottom