Kifo ni moja kati ya fumbo kubwa sana kiumbe hai (binadamu) tumeumbiwa kutokujua hatma yetu. Lakini, lait kungekuwa na jinsi fulani mtu anaweza kuchagua ni vipi roho yake iachane na mwili huu wa nyama; ni kifo cha namna gani ungechagua?
🤕Pamoja na hilo; ni kifo cha namna gani unaomba sana...
Hamjambo wana jf,
Kwanza nianze kujitambulisha mimi ni mkristo ninayempenda yesu.
Swali langu ninaomba kufafanuliwa juu ya maneno haya.
1. Kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama ni jengo?
Na kama ni mtu kwanini tunaenda kanisani ? Na kama ni mkusanyiko wa watakatifu...
Sisi wafuasi wa dini za kiafrika tuna amini kwamba Mwenyezi Mungu (Chanzo cha vitu vyote ) alituumba wana wa dunia na kutuweka kwenye sayari ya dunia ili tuweze kujibu maswali mbalimbali ambayo yeye Mwenyezi Mungu ametuuliza.
Moja kati ya swali ambalo Mungu ametuuliza ni " Tutafanya nini ili...
Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke..
Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile"
Swali la jamaa lilikuwa:
1...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sikuwahi kuelewa kwanini wakati mwingine mtu anapokuwa na mawazo au ametatizika kimawazo anaanza kujikuna nywele. Au mtu anakuuliza jambo halafu hauna jibu unaanza kujishika kidevu au unakuna nywele hata kama haziwashi! Maswali au mambo mengine wakati fulani yanakwaza na...
Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu.
Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki kusema kuwa Nyerere alilazimia kutokuruhusuKanda hiyo kumtoa Rais wa Tanganyika.
Ingawa yote hayo...
Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana.
Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
Salute Comrades!
Wanaume wenzangu njooni hapa niwape code kuhusu hawa wanawake ambao tumeusiwa tuishi nao kwa akili.
Kawaida yetu sisi wanaume tuna hulka ya kutongoza tongoza wanawake especially Kama mwanamke husika Ni anakidhi vigezo vyako.
Basi kipindi unamtongoza mwanamke Kuna hili swali...
Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi..
Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
Mbona wabunge wanalipwa bila mapingamizi yoyote. Wakistaafu wabunge pesa zao hazina mizunguko wanapewa cash zote.
Mbona munaleta uonevu kwa watumishi kwa visingizio vidogo vidogo? Mishahara yenyewe ya watumishi ni kiduchu, ukipata inadumu siku 5 tu inaisha. Sasa tangu tulipwe tarehe 23 mwezi...
Hello
Shalom!
Kila siku kwa kadri ya neema ya MUNGU nitaleta mada moja muhimu ili kumjenga mkristo.
Tujengwe imara ili tusiyumbishwe na mbwa mwitu.
Kristo alisema atakaa ndani yetu nasi tutakaa ndani yake.
Asitokee mtu yeyote akawageuza Wakristo wenzake kama chanzo cha mapato yake.
Watu wajue...
Katika imani ya kikristo tunaambiwa Malaika Mkuu aliitwa Gabriel, baadaye malaika huyo aliasi nakugeuka kuwa shetani na Mungu alimfukuza katika kundi la malaika wake.
Je kama ni sahihi watu kupewa jina la Gabriel ambaye ni shetani?
Je kuna logic gani makanisa kupewa majina kama hayo? Nimepita...
Naiuliza serikali LAKINI pia wadau woote wa maendeleo;
Iwapo tunamazingira mazuuuri ya uwekezaji Tanzania nikwavipi serikali inapata hasara kuuubwa tena ya aibu ya mabilioni katika uwekezaji wake?
Serikali imewekeza kwenye sekta muhimu saana kama mafuta(TANOIL), MAWASILIANO(TTCL), usafirishani...
Hongereni kwa ujenzi wa Hostel, frames na majengo mengine mengi yanayoonekana karibu na fence mnayoendelea nayo.
Swali langu:
Kama zege ya 4 by 15 ( Estimate) mlishindwa isimamia, baada ya kujenga ikaporomoka kabla ya kukauka, mpaka mkahamisha gate kwa muda.
Hii ni aibu Kubwa sana kwa mifumo...
Nikiwa kama miongoni mwa raia tunaopambana nje ya mfumo rasmi nimefikiria kuwekeza kwenye mfuko wa amana za serikali wa UTT AMIS kwenye scheme ya BOND TRUST FUND ambayo itanipa gawio la kila mwezi. Mfuko huu ili kupata gawio la kila mwezi kiwango cha chini cha uwekezaji ni milioni 10.
Lengo la...
Wadau, kusema za ukweli sina hisia na furaha kwenye ajira yangu japo nipo muda mchache tokea nimeajiriwa ila hisia na ile furaha ya ajira haipo tena yaani nafanya kazi tu ili siku ziende tu nachukia kufanya kazi labda ni sababu ni wilaya niliyokuwepo.
Nilikuwa kwenye shirika x mkoa x baada ya...
Anaitwa Allawi Mahamoud ni moja kati ya members wa movement ya wakushi yani vijana wa kiafrika wanao challenge mafundisho ya kiimani ya dini zilizo LETWA Afrika kwa majahazi.
Ameuliza " Ni nani ananufaika na uwepo wetu duniani?"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.