Habari wakuu.
Natumai hali zenu zote ni nzuri. Kwa wale wenye changamoto, Mungu awajalie.
Nina swali kuhusu kusoma elimu ya sekondari kwa miaka miwili. Mfumo huu wa Elimu ya Secondary upo hivi yani katka mwaka Mmoja unasoma Madarasa mawili (form 1&2) and next year form 3&4 jumla miaka miwili...
Sijasomea uchumi ila kwa hesabu za haraka haraka tu mchina akizunguka mitaa 5 tu ya Dar es salaam anakusanya mpaka sh. Milioni 100 za Watanzania kupitia madubwi au mabonanza wengine huyaita.
Mtaa mmoja una slots machines 20-50.
Mchina anaweka sarafu za sh. 200, ambazo zinakuwa sarafu 300 sawa...
Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu.
Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa .
Aisee.
Na Nukuu "I am very happy and proud of (Yanga style of play). If you remember at the beginning I said for me football is a show game, we play for the fans, not only Wananchi but for all the people who love football. Yanga is a team to watch even if you are not a Yanga fan"..~GAMONDI
Kwa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna mambo mengine yakijirudia unaweza ukafikiria bado uko ndotoni. Maana kuna baadhi ya ndoto zinajirudia rudia hata kama huzitaki. Wengine wanaita "jinamizi". Zinakuja zinatisha halafu unashtuka unasema "duh hii ndoto hii!". Unarudi kulala unafikiri itapita; kumbe...
Kuna picha inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Bidada akimvisha pete Mwanamke mwenzie.
Kulingana na Mavazi yao ni dhahiri kuwa hao wadada ni Waislamu kiimani, kama unavyojua kwenye wengi huwa hapakosi maneno basi kuna baadhi ya watu wakasema kuwa huyo Dada anamuolea ndugu yake wa kiume, na...
https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka:
TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI
DPP...
Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe.
Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
Leo nimesikiliza kipindi cha Clouds Power Breakfast lakini kwa jinsi ulivojaribu kulinda heshima ni kweli sio jambo zuri kuwa wazi ni kuchonganisha raia na jeshi la polisi.
Lakini swali la kujiuliza ni ili
WATU WANATEKANAJE?
Kumekuwa na malalamiko ya utekaji kwa kutumia jeshi la polisi au kwa...
Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250
Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo
Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
Preamble ipo kwenye heading.
Kupitia mikutano ya chamchela ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM bw. Makonda, tumeshuhudia kero mbalimbali zikiibuliwa na wananchi wanaofika mikutano hiyo.
Awali yule dikteta alikuwa anazifanyia maamuzi palepale. Lakini Hangaya alishasema kuwa kila mtu ale kwa...
Wasalaam, wote tumeshuhudia ziara za makonda akizunguka nchi zima na kutoa maagizo yasiotekelezeka ambayo kimsingi maagizo yalipaswa kutolewa na rais au waziri mkuu.
Swali langu ni kwamba je bajeti ya pesa anazotumia bwana huyu ni kodi za watanzania au ni pesa za ccm? maana kama CCM waliweza...
Na. M. M. Mwanakijiji
Unajua watoto unaweza kuwaridhisha na vitu vidogovidogo. Yaani wanaweza kulia hadi wanabadilisha Gia kama kupanda Kitonga. Hata hivyo unaweza usihitaji vingi, wakati mwingine maneno tu yanatosha.
Au unaweza kumpa peremende atanyamaza na kulia kwa kujibembeleza hadi...
wakuu habari za uzima?
Nipo hapa na mwanangu tunaangalia mpira.kipindi unaanza aliona hawa watoto wanaoingia pamoja na wachezaji akaniuliza.
Baba hao watoto na wao wanacheza, nikamjibu hapana.
Akauliza sasa wanafanya nini humo, imebidi nidanganye kwamba hao ni baba zao wamewasindikiza.
Kwa...
Shaloom,
Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa.
Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
acheni
bandari
baraka
biblia
bora
cheap
janga
kabla
kibao
kijana
kuliko
kuoa
kuoa single mother
kusaidia
kuzaa
laana
mama yako
mimba
mungu
nyingi
sahihi
sana
sex
shida
single
single mother
single mothers
singo
swali
tanzania
wajane
wamama
wamefanya
watoto
wenye
wote
yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.