Usiyempenda kaja.
---
Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo.
Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo.
Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM.
Leo Mzee...
Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu.
Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi.
Kipengele na:
8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya.
Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma...
Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa...
Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!!
Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika.
•Kuna watu wamepoteza maisha yao kwasababu ya NDOA, kutokana na vipigo na manyanyaso yaliyopitiliza na wengine wamejiua...
https://youtu.be/jDzJu189nqI?si=UQmWgaNK996arJo3 Naomba atheists ( wasioamini uwepo wa Mungu) mpitie video hii na kutoa majibu kwa uweledi na ustaarabu. Karibuni!
Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy .
Inavyosemekana kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba Chidy alikuwa anamtaka kimapenzi Lady Jaydee akaamua kumtongoza Lady Jaydee ,Lady...
Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana.
Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi ...
Wadau hamjamboni nyote?
Tazama picha Kwa umakini Kisha ujibu swali?
Hivi hiyo ndoo ya blue hapo kwenye picha chini ni kwa ajili ya ikutunzia ya mafuta ya kupikia au ni Kwa ajili ya kuweka rangi ya nyumba?
Zawadi nzuri kwa atakayepata swali hilo
Enyi Wana WA Nuruni
Naomba mje mnisaidie hii kitu
Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka?
Maana me nimetongozwaga zamani,
Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa...
Za muda wadau!moja kwa moja kwenye swali
"Hivi kinachotuangaisha binadamu katika harakati za maisha kinatokana na historia(sayansi)?
Au maisha ya sasa(uvumbuzi) au maisha ya baadae(dini au maandiko) naomba aloelewa ajibu na kama hujaelewa naomba tumia muda kusoma NK kwenye mabano ni ufafanuzi...
Habarini, nina swali nimemaliza clinical medicine mwaka huu nina GPA ya Tano. Nataka kujiendeleza MD bahati mbaya nafasi za MD Serikalini kumejaa na private siwezi kumudu ada, nauliza mwakani nikiapply naweza kupata chuo kama MUHAS na kuhusu mkopo kuna uwezekano wa kupata?
O level nina dv 2 ya...
Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam
Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
Hivi kwa mwanamke ni umri gani sahihi kuitwa mzee.?
Maana humu kila mtu utasikia lishangazi sasa mtu ana 32 au 34 unamwita mtu lishangazi .
Na wewe una 45 to 60 nani nilimmjomba??
Semeni tu ukweli
Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu.
Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu.
Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.