swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. To yeye

    Swali kwa wanaume?

    Je, mama mjengo(mke) unapenda mwenye Mwili wenye mafuta au kaukau? Na kwanini?
  2. LAETUS

    Swali kuhusu kifo

    Habari Wana JF, Nina swali hapa ,hivi Kuna kifo kinawezatokea(binadamu kuaga dunia), bila sababu maalum kama vile za ugonjwa au ajali?
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Swali: Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga?

    Habari! Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga? Je, ni wananchi ndio Wajinga au viongozi ndiyo wajinga? Leo ni miaka 62 tangu tumpoke Mwingereza Tanganyika lakini jiji kubwa la Dar es Salaam bado kuna mitaa hakuna maji safi na salama. Leo hii barabara za kuunganisha wilaya na mikoa yake nyingi ni za...
  4. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Ni Ufisadi 3.0?

    Na. M. M. Mwanakiji Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza. Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0 Wakati wa JMK...
  5. R

    Msigwa akiulizwa swali gumu kuhusu DP World anajibu watu wajifunze uwezo wa kusikiliza na kukatisha watu kutoa maoni

    Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto. Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa na uwezo wa kusikiliza, halafu anamkatisha muuliza swali kwa kusema kitu anachotaka kusikia yeye...
  6. Analogia Malenga

    Mwananchi anyimwa fursa ya kuuliza swali kwa kuanza swali la kusema waliosaini sio Watanganyika

    Katika mjadala unaendelea Clubhouse mwananchi mmoja ameshindwa kuuliza swali baada ya kusema kuwa waliosaini mkataba sio watanganyika ni Wazanzibar. Moderator wa mjadala, Gerson Msigwa alimtaka mwanachi huyo afute kauli yake ili aulize swali lakini mwananchi huyo alisema huo ndio ukweli hivyo...
  7. Analogia Malenga

    Mwananchi amwaga Machozi akimtaka Rais Samia kufuta Mkataba wa DP World

    Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji Kwa sauti ya kulia Edna amesema "Msigwa mwambie dada, Rais Samia afute huo mkataba, sisi hatuutaki" Msigwa...
  8. Dr Matola PhD

    Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

    Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje? Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi? Cc: Dr Lizzy say...
  9. JumaKilumbi

    DP WORLD: Uliza swali lolote kuhusu Mkataba wa Tanzania na Dubai kuhusu Bandari

    Wakuu, Sabalkheir na Eid Mubarak! Sakata letu la Bandari limechukua taswira tofauti tofauti mitandaoni, wengine wakisema “Bandari imeuzwa” wengine wakilalamikia Mkataba, wengine wakipotosha, basi alimradi tafrani. Lengo la uzi huu ni kuweka wazi na kwa ukweli kuhusu Mkataba huu. Kwa dhamira ya...
  10. M

    Swali: Rostam Azizi anafanya biashara ya kutoa huduma kwenye bandari. Ni Bandari zipi kwa mnaojua?

    Kwenye ukurasa wa Wikipedia unaotoa wasifu wa Rostam Aziz (Rostam Aziz - Wikipedia) unaonyesha moja ya sehemu za biashara na uwekezaji wake ni kwenye huduma za kibandari (port facilities and service). Kwa wanaojua bandari gani anahudumia naomba tu kujua ili kupata ufahamu. Sio kwamba nataka...
  11. D

    Swali kuhusu uwezo wa CCM kuongoza nchi

    Wakuu kuna sehemu nimekuta hili swali, na likanifikirisha sana. "Kama CCM imeshindwa kusimamia bandari ambayo hata haizidi kilometa 10 mpaka wanaamua kubinafisisha je wataweza kweli kutuongoza watanzania ambao tuko mil 60 hadi tupate maendeleo tunayostahili?"
  12. H

    Hivi ukitoa hela kwenye ATM halafu ukaiacha pale kwenye kibox chake inaweza kurudi ndani kama card?!

    Salam.. Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka, je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria. Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance itapungua. Changamsheni kichwa kidogo.
  13. F

    Uongo na upotoshaji unaosambazwa kuhusu ujio wa DP World Tanzania

    Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambao umesainiwa hadi sasa. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Iko kwenye MAJADILIANO na DP World kuhusu uendelezaji wa bandari nchini Hakuna kipengele chochote kwenye makubaliano yoyote ya awali kati ya DP...
  14. KatetiMQ

    Naomba majibu juu ya swali hili

    Habari wana jamvi kiukweli sielewi ni nini hasa kinaendelea lakini nikiwa kama Mtanzania nahitaji kufahamu juu ya jambo hili hasa kwa wenye ufahamu Ikiwa raisi wa Zanzibar ni Wazanzibar na raisi wa Tanzania anaweza toka Tanganyika au Zanzibar Rais wa Tanganyika ni nani? Na ikulu yake ipo wapi?
  15. Justine Marack

    Je, Muumgano ukifa Mkataba wa DP World nao unakufa?

    Twende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba. Swali nataka kujua, ikiwa leo DP World wamesaini Mkataba na Mbarawa kama Waziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Sasa ikitokea Muungano ukavunjika na Mbarawa kurudi zake kwao Zanzibar. je, Makataba wa DP world utabaki...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, ni kweli Idd Amini alikuwa shujaa wa Afrika, Nyerere alitumiwa na wazungu kumchafua?

    Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili. Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake. Idd Amini...
  17. Mimi Ni Mtu Wa Mungu

    Watu wengi wameonewa sababu ya Swali hili la Polisi

    Kuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi 'Unamuhisi Nani'.
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Sakata la Bandari: Je, ni serikali ilimtafuta mwekezaji au mwekezaji aliitafuta serikali ya Tanzania?

    Habari, Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ameonekana akiongea bungeni na kumbi zingine nje ya Bunge akiwataka Watanzania wafungue moyo kupokea neema kutoka kwa Mwekezaji sijui anaitwa D World. Swali la wananchi kwa serikali liko hivi: Je, ni serikali ilimtafuta Mwekezaji au mwekezaji...
  19. JF Member

    SWALI: Endapo Rais Samia ataelewa kilio cha wananchi, atarudisha tena Bungeni?

    Tuko hapa tunapitia michango ya wananchi hasa hili la bandari. Hapa TEC mambo ni moto sana. Ninachojiluza, Iwapo Rais ataelewa mapigo ya wananchi ya kuachana na huo mpango na akafuata mpango ule wa Mbunge wa Kisesa - Mpina kama mambavyo inajadiliwa hapa TEC. Je, Atarudisha tena Bungeni...
  20. Roca fella

    Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa. Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo...
Back
Top Bottom