swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Swali fikirishi kuhusu Uhuru

    Swali fikirishi. Kabla ya ukoloni wa Berlin Tanzania ama specifically Tanganyika haikuwepo, katika confinement ya mipaka ya sasa. Ni phenomena waliyoitengeneza wao. Katika kudai Uhuru kulikuwa na haja gani ya kudai Uhuru wa Tanganyika ambayo never existed before? Kwanini kusingedaiwa Uhuru...
  2. Mtu Asiyejulikana

    Kwa wenye uzoefu na hizi gari ndogo. Hili swali watu wameshindwa kujibu

    Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu. Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi? Au *Nani amewahi fanya safari ya Dar to Babati kwa IST? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?"
  3. Faana

    Swali kwa LATRA Kuhusu Nauli za Mikoani

    Naomba kuuliza kwanini nauli za kutoka Dar kwenda mikoa mingine zinatofautiana na zile za kurudi hasa vituo vya njiani kwa mfano, hivi majuzi nilipanda bus moja kutoka Morogoro kwenda Mbeya nikalipa Tshs 45,000, jambo la kushangaza wakati narudi nilipokwenda kukata tiketi kwenye bus lilelile...
  4. M

    Msaada: Faili gani naweza kufrashi simu ya Infinix

    Naomba kuuliza ni faili lipi zuri naweza tumia kufrash simu aina ya infinix
  5. GENTAMYCINE

    Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

    Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu. Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
  6. britanicca

    Swali: Kwenye vita ya Kagera maafisa wanajeshi wa kike hawakushiriki? Mbona huwa hawatajwi?

    Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere, Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia...
  7. Ali Nassor Px

    Swali linalohitaji jibu lako

    Una tafsiri vipi mtazamo wa watu juu yako. 1. Hawapo sahihi unajijua wewe mwenyewe. 2. Wapo sahihi watu wanaona vitu ambavyo wewe mwenyewe hauwezi kuviona kwako.
  8. P

    Swali kuhusu Magari

    Uzingatie nini kabla ya kununua used car ya bongo? Kwa nini BMW used zinaonekana bei ndogo ukilinganisha na brand yake? Thanks in advance
  9. K

    Hili ni Swali Muhimu Kuhusu "Kufungua Nchi"

    Imenilazimu nilete mada fupi hapa, kuhusu hili swali ambalo limenitatiza, tokea nilipoona limeandikwa magazetini. Mimi siyo mtaalam wa haya mambo, kwa hiyo nategemea kupata mchango mahsusi toka kwa walio na upeo juu ya mambo haya. Nchi jirani imepata matatizo ya kupungukiwa na pesa ya kigeni...
  10. Unique Flower

    Nauliza swali kuhusu uumbaji

    Mimi nina swali, hapo mwanzo Mungu aliumba vitu, viumbe na Hawa na Adam, haya sasa kwanini hadi wazungu waje kutuonyesha dini sahihi na huku Dunia ilishaumbwa, mbona hakujitokeza kabla ni baada ya wazungu kutuambia yupo??🤦
  11. whiteskunk

    Kipi Mungu anachoweza kukifanya kikanisaidia?

    Tukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu. Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki? Kuna kipindi...
  12. Carlos The Jackal

    Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

    Et Baba wa nyumba... Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home. Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu...
  13. B

    Wanaume wachepukaji kuna swali lenu huku

    Wanaume wachepukaji nina swali Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wake zenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu? Wake zenu wanaingiaje hapo
  14. Dr Matola PhD

    Wanaojua Dkt. William Mtanzania wa USA. Je, Profile picha ni yake?

    Kuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William. Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku zinavyokwenda anazidi kuvaa uhusika mbalimbali kwamba yeye ni Sangoma, yeye ni Astrologist na blah blah...
  15. Unique Flower

    Wanaume, kati ya hawa yupi mnampenda kwa moyo?

    Wanaume je kati ya Hawa mnapenda Kwa moyo nani. Mrefu mwembamba , Mrefu mweupe mwembamba Mweusi mrefu mwembamba Au saizi ya kati mweupe mwembamba Saizi ya kati mnene mwenye shepu mweupe Au mweupe mfupi mnene au mweusi mfupi mweupe mwembamba , au mfupi mweupe mnene , ?? Ugonjwa uko wapi...
  16. ASIWAJU

    Swali kwa upinzani: Je, tatizo lenu ni Magufuli au CCM?

    Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao. SWALI: Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ? KARIBUNI
  17. Kaka yake shetani

    Kwanini TRA mnatulazimisha kuja na risiti za mauzo wakati rekodi zetu mnazo?

    TRA tunawatambua mnakusanya kodi. Mifumo imebadilika mkaanzisha mashine zinazotumia mtandao kupata makusanyo siyo kwa kutumia kitabu tena ambayo ni EFD. Kuwa na TIN ni lazima unapotoa risiti au kununua. Sasa kwa wafanyabiashara wanapofanya manunuzi ya mizigo lazima wapate risiti ya manunuzi...
  18. The unpaid Seller

    Swali: Kimaadili ya dini je mtu alietoa mahari nusu humalizia kulipa iliyosalia kwa taratibu zipi ?

    Peace, Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa ningependa kupata rejea za maandiko najua jambo hili limeelezwa vyema katika vitabu vya dini hasa Uislamu.
  19. E

    Wale wa "education is better than money" mpo? Mnalikumbuka hili swali lakini?!

    Naona kodi mtakuwa mnalipa kwa kutumia vyeti pamoja na report cards au sio?!....kwanza speaking of kodi, kuna michongo gani short term ambazo zinaweza kuboost balance ya mpunga kidogo? Mkataba wangu sio poa, january wenzangu wanapambana sasa zamu yangu imefika...ewaaa!
  20. Pang Fung Mi

    Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

    Wasalaam JF Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki. Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga...
Back
Top Bottom