Wasalaam,
Jamani hii dunia Mungu aliumba watu, nilikuwa na demu wangu huyu demu alikuwa anajua kila kitu ninachotaka kufanya hasa kama nina mpango na demu mwingine, aidhq atajua huyo demu ana madhara au hana mfano kama demu ana majini au mashetani au mchawi sana huyo demu wangu alikuwa anq...
Kinasubiriwa nini kufungua minada ya soko la ufuta? Au hadi akina Kangomba wamalize kuukusanya Kwa wakulima? Wakulima wataendelea kudhulumiwa Kwa bei za unyonyaji hadi lini?
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna watu ambao tunawakumbuka kwa umahiri na weledi katika kazi, vipaji au matendo yao. Michael Jordan aliichezea timu ya mpira wa vikapu ya Chicago Bulls na kujionesha kuwa ni mchezaji bora Zaidi wa mchezo huo duniani. Wengi wanalijua jina la Michael Jordan lakini ni...
Punyeto ni nini?
Punyeto ni tabia ambayo inajulikana sana kwa vijana na hufanyika kwa kujichua sehemu za siri kwa ajili ya kujiridhisha kimapenzi. Hata hivyo, tabia hii ina madhara mengi kiafya ambayo yanaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya. Katika makala haya, tutajadili madhara...
Wadau salaam.
Naamua mpo safii kabisa, kwa wenye changamoto basi ni dua zangu Mungu akufanyie wepesi.
Kabla sijaingia katika mahusiano swali langu kichwani lilikua " hivi hawa watu wanaitana wapenzi, nini wanaenjoy na vipi wana feel kufuatana fuatana....!?!?!"
Sikupata jawabu zaidi ya...
Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini.
Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu.
Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika
Tuliza kicha tafakari hili swali
Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya...
Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine
Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa vipi Kiswahili?
Naona tafsiri hapa;"mchinjaji","mnyongaji". Certainly ni "mchinjaji" na...
Ombi: Sijapita muda mrefu hapa JF, naona jukwaa jipya la ku fact check mambo. Sasa sijui tunasubmit issues namna gani hapo, kwa sasa natumia jukwaa hili la mchanganyiko nikiomba mods kunisaidia kama hii thread yangu inaweza kuhamia kwenye jukwaa la Jamii Check.
Swali langu kwa wadau wa afya...
Wakuu mnakaribishwa kuuliza chochote kuhusiana na lishe na afya ya mwnadamu kwa ujumla.Ili kuelimishana na kuongeza maarifa lakini pia kujifunza njia salama za ulaji kuepuka matatizo ya kiafya.
Habari zenu
Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako...
Wanamichezo wenzangu wana-jf, Nimejiuliza hili swali ila bado sijapata jibu kwamba nini kinapelekea Mazembe kupitia wanayopitia siku hizi?
Nimekosa majibu hebu nijibieni, maana wamenishangaza sana?!
Umewahi kujiuliza kati ya kuku na yai nini kilitangulia? Hili swali sio geni, ila umewahi kulifikiria na kutafuta jibu lake? Kwanini wenye jibu sahihi hawataki kulitoa?
1. Ni kuku kwanza, halafu yai. Kimamtiki ni sawa na ndivyo tunavyoona kila siku, kuku anataga yai.
2. Ni yai kwanza, halafu...
Naam,
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.
Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.