Ishu vipi wakuu,
Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani wilaya
1) Kinondoni
2) Ilala
3) Ubungo
4) Temeke
5) Kigamboni
Swali lililopo ni watu kutaka kujua...
Moja kati ya vitu vinavyoumiza kichwa wahitimu wa miaka ya sasa ni mchakato wa kupata kazi. Wengi huona bora wafanye kazi yoyote hata kama haiendani kabisa na walichosomea. Sasa mimi ninakumbuka mwanangu mmoja alikuwa anasoma UDOM masomo ya biashara na uchumi. Yeye hakusubiri ahitimu masomo yake...
Habari wananchi wenzangu!
Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali mito, maziwa na bahari kukimesha tatizo la upatikanaji wa maji kwa wananchi.
Dar es salaam sehemu zenye miundombinu ya maji safi na salama ni chache tena hizo sehemu chache sasa hawapati kabisa.
Huku Chanika hakuna...
Wanajamvi.
Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Hivi huyu Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?.
Huyu jamaa hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote.
Siku hizi anaongea nonsense kabisa...
Habari wakuu,
Kuna mahali nataka kwenda kununua tani kadhaa za parachichi ila sasa huko kijijini wauzaji wanauza kwa kipimo cha ndoo (debe).
Naomba kujua kwa wenye uzoefu, ndoo moja ya lita 20 ikijaa parachichi inaweza kuwa na wastani wa uzito wa kilo ngapi?
Natanguliza shukrani.
Habari wana JamiiForums, kuna jambo lanitatiza Naombeni majibu yenu.
Mfano umepanga nyumba na mwenye nyumba wako anaishi mkoa mwingine tofauti na uishio wewe, ukiwa unamtumia kodi ya nyumba je, ni lazima kumtumia na ya kutolea?
Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?
Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani...
Doc Benway
4 hours ago
I do a lot of work in India and based on my first hand evidence of high school students in the US of A and India; India is much more motivated. Ask Indian kids what they want to do with their lives and you get answers such as engineering, technology, or medicals...
Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer.
Mimi; unafanya biashara gani teacher...??
Lecturer; Hahaahahhaaaaa sina biashara.
Mimi; Kwanini...??
Lecturer; Unajua ukifungua biashara ukimuweka mtu mara akuibie mara ufilisike mara hivi mara vile.
Mimi; Sindo...
Niende moja kwa moja kwenye mada,. kutokana na kuwepo na ushindani wa ufauru wa kishule kimkoa nk, tumeona watendaji mbali mbali ngazi ya taifa mpaka wilaya wakija na mikakati mbali mbali ya kuinua ufauru ila Kuna masula haya yameibuka na kama kumekuwa Kuna kuigana hapa bila kuwa na mbinu...
Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali
Baada ya...
Katika uzi nilioufungua jukwaani hapa nilioutumia kuwaalika Atheists kuleta hoja za kuthibitisha kuwa Mungu hayupo ili tujifunze kuhusu misingi yao, wachache hawakunielewa kwa kudhani nilitaka mabishano, ila nimepata hitimisho lifuatalo
Baadhi ya Atheists wanashindwa kuelewa Mungu huyu (kama...
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.
Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.
Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
Ni hivi, nimevuta maji yapata miaka mitano iliyopita, ilinighalimu Kama laki saba hivi,.
sasa Kuna mtu jirani yangu ameenda mamlaka ya maji ,baada yakutajiwa ghalama Hadi maji yafike kwake Ni kubwa, wakamuambia heti akiweza aniombe Mimi jirani yake nimuandikie barua hili aipeleke huko avute...
Udom ina special thread/uzi wake nilitokea kuuona humu. Kwa nini haujawekewa 📌 sticky
Ielekeweke umuhimu na heshima ya Chuo hili inabaki mokononi mwenu.
Tunaomba thread Ile iwekewe pin.
Uzi huu udom
Wakati wa Sensa kuna maswali mengi sana yaliyoulizwa na Makarani wa Sensa, mengine yalifurahisha, mengine yalikasirisha, ilimradi waweze kutumiza malengo na kazi iliyowapeleka.
Mfano, unatumia jiko la aina gani?
Umeshawahi kutumia smartphone?
Unamiliki guta...
Wakuu humu ndan nna swali langu.
Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.