Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake.
Jana, Kamati ya Maadili...
Labda hili swali tungeliuliza hata kuhusiana na Jeshi la Wananchi. Hasa baada ya hizi teuzi. Najiuliza inawezekana kwenye majeshi yetu hakuna wanawake wenye uwezo na ufahamu wa mambo ya kazi, operesheni na mikakati ya kijeshi kuweza kushika nafasi za juu kwenye majeshi hayo?
Labda Rais yeye...
Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima.
Ametibua nini? Mpaka akag'olewa?
Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
Nilijaribu kujibu hivi...
🎯 Muda umebadilika sana, naweza kukubali au kukataa ila nitakuwa nimebakizwa nyuma sana (old stone) japo mambo ya Mungu hayapitwi na wakati.
Namaanisha baada ya muda wa hawa watu kuishi huku Duniani kuisha na wakaondoka. Huko watakapokwenda watakuwa na maisha mazuri au mabaya ?
Imekuwa kawaida ya watu kila kitu wanachoambiwa wao ni kupinga tu. Hawatengi muda wa kutafakari, Hawatengi muda wa kujiuliza kwanini mtu ameamua kuacha...
Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu.
UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje?
Kwanini wanaotekwa au...
Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote.
Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna.
My take: Mimi ni simba galagazwa
Tangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili
Ugomvi wa Kenya na Tanzania ulianza mara tu baada ya Tanzania kutangaza kufuata mrengo wa kijamaa hapo mwaka 1967 na kilichofuata baada ya...
Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend .
Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
Wewe apo! Yes wewe apo sio mwingine... nina swali moja naomba nikuulize, ambalo ukijibu baadae nitakuambia maana ya hili swali langu.
Kwamfano unatembea mtaani halafu njiani kwa bahati nzuri ukaokota shilingi laki moja (100,000/=) Sasa ukawa una furaha sana unatembea huku unapanga utaitumiaje...
Bei ya Umeme yapanda na kuwa sh.357 kwa unit 1. Naipongeza serikali kwa hatua hii
Ni miaka mingi imepita bei ilikua haijapanda, huku gharama za uendeshaji zikiongezeka maradufu.
Pia hii sh. 357 ni ndogo sana, Serikali ilipaswa kuweka sh 700 kwa unit 1 ili kuweza kuleta tija kwenye shirika hili...
Habari zenu wote,
Naomba kuuliza kwa mfano umekutana swali hili hapa “Eleza ni njia gani utatumia ili kufanikisha zoezi la uhesabiji wa SENSA linalo endeshwa kijijini/mtaani iwapo wananchi wameligomea?”.
Naomba msaada wa majibu ya swali hilo chukulia ndo wewe umekutana nalo kwenye interview ya...
Siku moja Yesu katika harakati zake ,Wayahudi hasa mafarusayo wale ambao hawakumuelewa hasa kuhusu Asili yake ,aliwatandika Swali ambalo liliwaziba mdomo
Hawa Wayahudi walikuwa wanajifanya wanayaamini maandiko asilimia 100, Na Yesu alikuwa hasumbuani nao Sana anawatandika kwa maandiko
Kisa...
Kwa kweli Kati ya watoto wadadisi mwanangu huyu wa kiume 9 yrs naye yumo, mama yake ni mjamzito sasa akamuona na kamuuliza mama yake "wewe mama unatematema mate, mama yake akamjibu fanya mambo yako, ilibidi nicheke kimomoyo halafu nikamnong'oneza maneno.
Habari wakuu kuna hesabu za mafuta nafanya hapa ili nije na hesabu Kamili hapa jukwaani.
Ila kuna mahali nahitaji data kamili kupitia swali hili.
Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi?
Mwenye majibu, tusaidie.
Hello!
Kuna jambo nimefikiria hapa, nimeona ni wakati sasa serikali ya Tanzania kutoa ELIMU bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, bila kuisahau kutoa huduma bure za msingi za afya.
Kwakuwa tuko kwenye dunia ya 3 si rahisi kuanza vyote kwa pamoja.
Kimoja lazima kianze na kingine kitafuata...
Habari!
Hii hali ya wanawake kuwa tegemezi imekuwa kubwa sana hasa dunia hii ya tatu. Hata awe mwajiriwa serikalini au sekta binafsi bado utamkuta amejipa haki ya kuwa tegemezi. Yaani wanapenda kupewa kuliko kutoa.
Inafika wakati wanakera, unashindwa kujua kama wana upendo wa dhati kwako au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.