Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati...
Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika?
Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion ? Na mapato ya Utalii yamefika mabilioni?
Mama usiingie mtego huu hata kidogo
Najua zitapikwa...
Hivi tunajuaje kwamba mtu fulani kapokewa peponi saaafi kabisa?
Maana nilikuwa na jamaa yangu, daa!! Alikufa kwa accident, alikuwa nazo kidogo.
Hayo maombi bana, we acha tu!
Tulizuiwa hata kulia tusije tukawakasirisha wahusika! Maana wakati huo mahali saaafi ndio palikuwa panaandaliwa...
Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya...
Unakuta haamini Kama kaolewa?
Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku?
Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo?
Au Huwa nimaigizo?
Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe.
Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga.
Hakuna mtu ajuaye kila kitu.
Sasa basi, leo ngoja niulize.
Katika Tanzania yetu hii...
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika: Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha...
Nina maswali ambayo nimeyawaza baada ya ku smell kitu.
Ni kama vile wasimamizi wa nishati na mafuta kama wanafanya biashara ya mafuta hivyo wanajiimarisha kiuchumi.
Swali 1.
Haya mafuta yaliyoanza kuuzwa leo kwa bei ya juu yameingia lini nchini?
Swali 2.
Mafuta yale ya bei ya zamani yameishia...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sijui lipi ni bora katika siasa au yote ni sawa tu? Yaani, unamheshimu mtu si kwa sababu anastahili heshima hiyo bali kwa vile unamuogopa. Unaogopa huyo mtu atakufanya nini. Unajitahidi kumfurahisha kwa sababu hutaki achukie au akushukie. Akinuna unaweweseka. Unajua...
Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga...
Moja kati ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri ni "What is your salary expectation ?"
Huwa najiuliza kwanini mwajiri aniulize hivi wakati tayari ana scale yake kashaiandaa kwa position husika
Ni ngumu sana kumshawishi mwajiri aliepanga kukulipa 1,000,000 basic salary kisha akulipe...
Naombeni msaada wenu watu mliosomea na kuelewa mambo ya Biology hasa kwenye ile topic ya Genes.
Nimekuwa na hili swali kwa mda mrefu bila jibu, Size ya uume wa mtoto inatoka kwa baba yake au ni independent?
Binafsi nina watoto wavulana wawili nimeona wamefanana na mimi size yangu ya utotoni...
Hello!
Kuna jibu huwa najibiwa sana na washika-dini kila ninapowauliza kwanini wao wanaamini uwepo wa Mungu. They are like, "Unaamini uchawi upo?" Nikimjibu, anakuja na hii, "Kama unaamini uchawi upo, kwanini huamini Mungu yupo?".
Yaani hapo huwa wana nadharia yao kuwa, everything is two...
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.
Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo:
1. Huyu kweli anaweza kuniroga?
2. Hili...
Dan 6:16 SUV
Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danieli, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya.
Luka 16:19-31 BHN
“Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.