Oliver Scott "Oli" Sykes (born 20 November 1986) is an English-Brazilian singer and songwriter, best known as the lead vocalist of the rock band Bring Me the Horizon. He also founded the apparel company Drop Dead Clothing, and created a graphic novel.
Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes.
Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini.
Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province)...
Leo nimepokea picha kutoka Maktaba ya Picha ya Ally Sykes.
Nimeona niiweke picha hiyo hapa pamoja na ukurasa mmoja kutoka mswada ambao mimi na marehemu mzee wangu tuliukamilisha wakati akiwa hai.
A PAGE FROM: ''UNDER THE SHADOW OF BRITISH COLONIALISM'' ALLY SYKES AND MOHAMED SAID
Kwame Nkrumah...
Picha hapo chini:
kutoka kulia ni abdhullwahid Sykes na mdogo wake ally Kleist Sykes,
wamevaa gwanda za kijeshi za king's African rifles, waliposhiki vita vya pili vya Dunia.
Na hawa ndio waanzilishi wa TANU
TANU NA SANDUKU LA FEDHA LA ABDUL SYKES 1950s
Katika moja ya mijadala ya historia ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika niliwaahidi wasomaji wangu kuwapa historia ya sanduku la fedha la Abdul Sykes.
Nikasahau kwa muda.
Leo msomaji wangu mmoja kaniandikia kunikumbusha nitimize ahadi...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA1961: RASHID MFAUME KAWAWA, KENNETH DAVID KAUNDA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE NDANI YA NYARAKA ZA SYKES
Nimekutana na picha hiyo hapo chini kushoto Rashid Mfaume Kawawa, Kenneth David Kaunda na Julius Kambarage Nyerere.
Hii picha bila shaka ni ya miaka ya mwishoni...
KISA CHA AL NOOR KASSUM NA ALLY SYKES 1957
Leo asubuhi tarehe 19 November, 2021 nimeona taarifa ya kifo cha Al Noor Kassum.
Al Noor Kassum ametumikia Tanzania katika nyadhifa nyingi tofauti.
Nimekutana na Al Noor Kassum wakati naandika maisha ya Ally Sykes, '''Under The Shadow of British...
Naeleza mazishi yalivyokuwa kuanzia dakika ya 7.
Labda unaweza kujifunza kitu kitokana na historia hii ambayo kwa hakika ni historia ya watu wa Dar-es-Salaam na utamaduni wao na vipi historia hii ni sehemu muhimu sana katika historia kubwa ya Tanganyika.
TUJIKUMBUSHE ILI TUJUE NA TUSISAHAU
KUTOKA MAKTABA: MKUTANO WA SIRI KATI YA ABDUL SYKES NA JOMO KENYATTA NAIROBI 1950
Siku moja katika mazungumzo na Ahmed Rashad Ali akanambia kuwa mwaka wa 1950 yeye akiwa Nairobi wakati wa mashindano ya Gossage Cup Abdul Sykes alifika Nairobi na akawa anakaa...
Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London.
Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu ambayo nilikuwa nimeandika kuhusu historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika aifikishe jarida la Afrika...
PAULA PARK ALIPONZWA NA ALLY SYKES 1986
Hayo hapo chini kwa hakika ni ya kale na yanatufunza matatizo yaliyokuwapo katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Ally Sykes ameacha kumbukumbu nyingi katika historia ya kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hebu tutembee katika Mtaa wa...
BALOZI ABBAS SYKES ASOMEWA KHITMA ZANZIBAR
Ndugu, jamaa na marafiki wa Balozi Abbas Sykes jana walimsomea khitma Msikiti wa Makuti Kisiwandui.
Wanasiasa wanapenda sana pale wapouzungumza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kusema kuwa muungano baina ya watu wa nchi hizi mbili ulikuwako kwa...
KUTOKA MAJILIS YA ABBAS SYKES
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka thelathini si CCM wala si rafiki yake mpenzi Julius Nyerere alikuwa anafahamu Dossa anaishi vipi na ana hali gani.
Rafiki zake wachache waliokuwa wakimtembelea nyumbani kwake pale Mlandizi walihuzunishwa na hali yake.
Dossa ‘’The...
BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES
Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel.
Siku moja jioni simu yangu ikalia.
Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.