Mwanasiasa Sylvestry Francis Koka ambaye ana zaidi ya Miaka 15 Bungeni, hakuwepo Bungeni muda mrefu mara baada ya kushinda katika awamu yake ya tatu kwenye Uchaguzi uliopita.
Pamoja na hivyo hakuonekana Bungeni, ilidaiwa anaumwa na alikuwa nje kwa matibabu, alionekana wiki mbili zilizopita...
Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka, amewataka walimu kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuwapambania na kudai maslahi yao badala ya kujihusisha na harakati zisizokuwa na tija kwa maendeleo yao.
Koka ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama cha Walimu...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.