Mwanasiasa Sylvestry Francis Koka ambaye ana zaidi ya Miaka 15 Bungeni, hakuwepo Bungeni muda mrefu mara baada ya kushinda katika awamu yake ya tatu kwenye Uchaguzi uliopita.
Pamoja na hivyo hakuonekana Bungeni, ilidaiwa anaumwa na alikuwa nje kwa matibabu, alionekana wiki mbili zilizopita...