taa

  1. Smart Eagles

    Pendezesha kuta za nyumba/ofisi yako kwa taa hizi za urembo

    Bei ni 20,000/= kwa taa 1. Tunatuma nchi nzima. Utalipia baada ya kupokea mzigo. Karibuni. https://smarteaglescompany.blogspot.com/2025/01/hizi-ni-taa-za-kisasa-kwaajili-ya.html
  2. B

    Taa bora na imara za ndani za Solar

    Wadau ninataka kununua TAA za kushika mkononi za SOLAR kwa ajili ya dharura pindi umeme unapokatika. Naomba ushauri ninunue AINA GANI maan nyingi ni Vimeo. Nahitaji itakayowaka muda mrefu ikiwa full charged angalau masaa 12 na kuendelea. Au km kuna yeyote aliewahi kutumia hii hapa chini (D...
  3. Ibanda1

    Msaada tatizo la taa ya check engine kwenye premio 1NZ

    Habari wakuu Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada...
  4. Mshana Jr

    Ubunifu: Urembo wa taa.. Kazi za viwango

    Kama unapenda vitu vya kipekee na ubunifu uliotukuka, kamwe huwezi kukutana na kazi hizi kisha ukaacha kutia neno.. Hapa ni ubunifu, usanifu na uchongaji uliotukuka... Siishi kuzitamani hizi kazi... Mbao tupu tena halisi hakuna plastic hata moja Sharing is caring...❤🎀👌🏿
  5. Ally Abdulrahman

    Msaada maswali ya interview ya nafasi ya Assistant Airport security TAA

    Wakuu. Naomben hint za maswali ya interview ya assistant airport security kw wenye uzoefu nazo. Nimekuw shortlisted Nd maan naomb maswali
  6. I

    Naomba kujua haya kuhusu hizi temporarily employment za Tanzania Airports Authority (TAA)

    Naomba kuuliza 1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani? Na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua imeishia hapo? 2.Maswali gani wanauliza hasa kwa upande wa accounts officer ii?
  7. Zekoddo

    Nahitaji kifaa cha kuwasha taa za solar Outomatically

    Habari Wakuu,, Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua). Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home, kuanzia mida ya 1:30 - 2:00 usiku na familia yangu imeindoka kwa muda. Nahitaji nipate kifaa...
  8. K

    KERO Kagera: Mamlaka husika tunaomba mtuweke taa za barabarani Bunazi, Wilaya ya Misenyi

    Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar mpaka Ofisi za Halmashauri. Nyakati za usiku kiza kinene na Barabara hiyo ndio kuu ya watembea kwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aagiza Ujenzi wa Maegesho ya Malori na Taa Dakawa na Kibaigwa

    RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
  10. M

    Bilioni 11 kununua taa tu?

    Great thinkers na wataalamu wa taa hii gharama ni Sahihi au watu wanakusanya za uchaguzi?
  11. U

    Nahitaji vifaa hivi vya gari kwa mwenye navyo

    Wadau nataka taabya mbele kubwa ya spacio new model upande wa kushoto,bampa la mbele zima,side mirrow kushoto, kioo cha mbele na kijioo kile kidogo cha kushoto. KAMA UKO UNAWEZA PATA NITAFUTE NIKUPATIE PESA
  12. Gordon Technology

    TAA YA SOLAR YENYE CCTV CAMERA(SOLAR STREET LIGHT WITH CCTV)-0746373222.

    Taa hii inatumika nje Yani ndani ya fensi ya Nyumba,nje ya Nyumba au barabarani. Taa hii inatumia mionzi ya jua ili kujipatia chaji na pia kuchani battery za CCTV camera. Taa hii inafanya KAZI mbili,kutoa mwanga na pia kurekodi video na sauti. CCTV camera uliopo ktk taa hii inazunguka nyuzi360...
  13. BigBro

    Hizi taa za kumulika barabara za Morogoro nini shida?

    Moja kwa moja kwenye mada: Kuanzia Kimara Stop Over zimewekwa taa za sola za kumulika barabara kwenye vituo vya daladala hadi Kilvya Madukani na pale Kibamba Shule zimeenda hadi barabara ya Kibwegere kifikia Kona Bar, lakini mbona zinang'oka sana? Kama mfuatiliaji, angalia zile zaa za juu...
  14. Manfried

    Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

    Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
  15. T

    Msaada: Taa za Toyota Wish New Model hazina mwanga

    Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje. Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga: Dube akikaribia goli, taa inapunguzwa mwanga asione goli

    Dube wetu ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi. Haya ni maneno ya msemaji wa Yanga Ally Kamwe, akitoa taarifa kwa niaba ya club My Take Hata mimi niliona Azizi Ki alipopiga penati wakahamisha magoli
  17. Olsea

    Msada taa ya nyuma

    Habarini wadau,naomba msaada kwa yeyote ambae anaweza kuwa na mawasiliano ya sehemu ambayo naweza nikapata taa ya nyuma upande wa dereva ya gari aina ya Toyota Belta,leo nimejikuta nagonga mti wakati narudi nyuma.Natanguliza shukran kwa yeyote atakaesaidia.
  18. Bazenga01

    Uharibifu wa taa za barabarani (Solar road lights) eneo la Ubungo jirani na linapojengwa soko kubwa la kisasa (EACLC)

    Habari za muda huu wakuu, Nimepita eneo tajwa hapo juu leo hii na kukuta uharibifu wa taa zinazotumia mwanga wa jua. Nafikiri hili jambo lifuatiliwe kabla hasara kubwa haijajitokeza, maana mlingoti wa taa moja umekatwa na taa kuibiwa. Wakati huo huo kuna mlingoti mwingine upo mbioni kukatwa pia...
  19. E

    Simba tafuteni uwanja wenye taa Kwa mechi za katikati ya wiki

    Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii mnapelekea kujipunguzia mapato na kuwanyima burudani mashabiki wengi Kutokana na muda huo kuwa...
  20. Lavit

    Taa ya ABS kuna muda inawaka, muda mwingine inazima!

    Wakuu msaada kipi nifanye, gari ni Mazda Axela, brake zinafanya kazi fresh! Ila imewahi funguliwa kwa ajiri ya kuweka spacer!
Back
Top Bottom