Kibanda ni cha kisasa, kina taa nne ndani na mbili nnje, kina feni ya juu, socket, switch
kinapatikana Dar es salaam kigamboni ukitaka
kuja kuja kukiona unakuja kukiona..
mawasiliano 0715584281
ITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili...
Wataalam naombeni msaada (ufafanuzi),
Nina Noah sr40 nimegundua Mara ninapo-switch overdrive on taa haizimi Kama ilivyo kawaida ya gari ikiwa katika overdrive mode (gear) badala yake taa inawaka na kuzima (flash/blink) tatizo ni nini wajameni na wale wakazi wa Arusha naomba tuelekezane gereji...
“While Revolutionaries as individuals can be murdered, you cannot kill Ideas”, Haya yalikuwa ni maneno ya Thomas Sankara aliyoyatamka wiki moja kabla ya kuuawa.
Thomas Sankara alikuwa kiongozi na akiwa na miaka 33 tu, Lakini mwenye maono makubwa na siasa za mrengo wa kushoto, anatambulika...
Heri ya mwaka mpya wakuu,
Taa za LED zimepata umaarufu miaka ya hivi karibuni kutokana na kuwa na mwanga mkubwa huku ulaji wake wa umeme ukiwa ni kidogo.
Licha ya faida hiyo kutokana na tafiti mbalimbali taa za LED,zimeonekana kuwa na madhara kiafya,licha ya wataalamu wanao unda taa hizi...
CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais Magufuli.
Washauri wake wabaya wanamzamisha yeye na nyie pia.
Wenzenu kina Rais Mstaafu Mkapa na Kikwete...
Wanajamii nisaidieni hii tabia ya baadhi ya mademu kuomba taa izimwe kabla ya Show wanahofia nini? W
engine ukitext unakuta inakaba vizuri nyingine zinalegea na kuburuza hadi kwenye magoti zisipozuiliwa na kufuli.
Msaada uzoefu wenu unasemaje??
mtu asiyejua historia yake ni sawa na mtu aendaye katika giza maana yake unajua historia ya watu ila ya kwako hujui. mfano watu wengi wanajua sana historia ya ulaya kuliko historia ya africa na hata jamii yako kwa kuwa tumesoma tukifundishwa habari ya malkia wa uingereza na fahari zake lakini...
Yaani badala ya kununua milingoti ya chuma na wire kwa ajili ya kufunga zile taa za mwanga barabarani, napendekeza taa ziwe zinafungwa kwenye mistimu ya umeme iliyopo kando kando ya barabara na ziungwe kwenye umeme moja kwa moja, hii itakoa fedha nyingi mno.
Pia badala ya kusimika mistimu ya...
Kufuatia mapinduzi ya mwaka 1989 yaliyomweka madarakani rais wa Sudan aliyeondolewa madarakani Al Bashir, sasa atashtakiwa kwa makosa ya kuhujumu mfumo wa kidemokrasia. Endapo atatiwa hatiani, basi hukumu yake ni kifo au kifungo cha maisha jela.
Hii ni taa nyekundu kwa CCM wanaovuruga mfumo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.