taa

  1. Bushmamy

    Serikali iweke taa za barabarani katika majiji yote makubwa nchini

    Katika miji yote mikubwa utakuta taa za barabarani zipo barabara chache na nyingi Ni mbovu haziwaki na hakuna ukarabati wowote. Hakuna ufuatiliaji wala uongezwaji wa taa katika barabara kuu na halmashauri hazijishughulishi na hilo wanachojua wao mwisho wa mwezi uhakika basi imetoka hiyo. Jiji...
  2. K

    Aliyeset taa za Ubungo kwa Mfugale kutokea Mwenge kwenda Kimara amechemka sana

    Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini. Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
  3. exalioth

    Nimemkamata mwizi wa Taa (balbu) usiku wa leo

    Inashangaza na inaskitisha... Ilikua ni majira ya usiku saa saba na ushee usinigzi uligoma kabisa nilikuwa naumwa, tumbo lilikuwa linasokota nikatoka nje kuskilizia maumivu, sasa nikiwa nmekaa kwenye maua yaliyostawi niliona kwa jirani yangu taa za nyumba yake zimeanza kuzima moja baada ya...
  4. vivian

    Traffic Police Mweupe Mfupi anayeeongoza magari kwenye taa za St. Peters Osterbay anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu

    Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana. Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari...
  5. H

    Marufuku ya nishati asilia (Fossil fuels), dizeli, gesi, mafuta ya taa petroli na nyinginezo ipo njiani

    Dunia inabadilika na sisi tunapaswa kubadilika, nishati asilia zinaongoza kwa kutoa gesi chafu zinazosababisha engezeko la joto duniani! Kama mpaka muda huu hujawahi kumiliki chombo chochote kile cha usafiri kinachotumia nishati asilia inawezekana usimiliki kabisa ndani ya miaka michache ijayo...
  6. Doctor Ngariba

    Askari wa usalama barabarani mnasababisha foleni acheni taa ziongoze magari

    Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi" Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake. Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
  7. MTV MBONGO

    Naomba kujuzwa, maamuzi yapi sahihi nikikutana na hali hii barabarani?

    Naomba kujuzwa: kuna Kivuko (Zebra) na taa za kuongoza magari. Je, Ikiwaka taa ya kijani, NISIVUKE, NIWASUBIRI WATU WAVUKE? AU WAO WANISUBIRI MIMI? Niwapo barabarani huwa Najiuliza Sana juu ya hili, mwenye ujuzi WA uhakika, ANISAIDIE.
  8. Mparee2

    Taa za barabarani ni kero/zinadumaza uchumi

    Nimekuwa napita kwenye taa za barabarani maarufu ka traffic light Naona zimekuwa ni kero saana kwani zina fanya barabara kuu highway itumike muda mfupi sana. Na maanisha kwa barabara zimekutana kama cross (jumlisha) barabara hufungwa karibia masaa sita kwa siku ( kila moja) Hii ni upotevu...
  9. J

    Waziri Mkuu, Majaliwa agoma kufungua barabara Liwale Lindi kwa sababu haina taa!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amegoma kufungua barabara yenye urefu wa km 1.5 Liwale mkoani Lindi kwa sababu haina taa. Mh Majaliwa amesema ramani inaonesha barabara ikikamilika itakuwa na taa hivyo hawezi kuifungua mpaka hapo itakapowekewa taa. Chanzo: ITV habari
  10. Mwenda_Pole

    Msaada: Taa ya Battery kuwaka kwenye dashboard ya gari

    Msaada kwenye tuta, Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini? Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila shida na battery ina miezi miwili Tu bado mpya. Nimesha ichomoa kurudishia lakini wapi
  11. Mparee2

    Hivi taa la Pikipiki hazina mwanga mdogo (low)?

    Kuna waendesha pikipiki wengi ikifika jioni/usiku huendesha pikipiki wakati wamesha taa kali sana. Wengine hubadilisha taa halisi na kuweka mwanga mkali sana kwa watumiaji wengine wa barabara Huwa najiuliza: Hivi hizi pikipiki hazina sehemu ya kupunguza mwanga wa taa? Kimsingi ni hatari sana...
  12. M

    Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

    Salamu Wakuu, Je, ninahitaji solar power yenye ukubwa gani inawasha Tv, kingamuzi, pasi, fridge na taa 5? Nimechoka luku. Naomba kufahamishwa tafadhali
  13. astalavista

    INAUZWA Nauza taa ya Raum

    Ni forehead, upande wa kulia. Used nje ya nchi, nilinunua kuweka kwenye gari lakini mambo yamenibana nahitaji pesa sasa. Nilinunua 150,000/= Ilala, nitajie ofa yako niisikilize. Location DAR. CALL: 0687603307
  14. Nyankurungu2020

    Kuna shida kubwa ya maji Chato. Waziri Kalemani hajali kitu, anachojali ni kusambaza taa za mitaani

    Kama kuna waziri anayepwaa katika uongozi basi ni Dk Kalemani. Maana hana maono ya uongozi. Kiongozi mwenye busara utasambaza taa za mitaani huku wananchi hawana uhakika wa kupata maji? Yapata wiki sasa maji hayatoki mambombani, yakitoka yanatoka usiku kidogo tu. Kama mbunge kwa nini hautatui...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

    Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia. Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na ndege (GTL). Kiwanda hicho...
  16. FRANCIS DA DON

    Napendekeza taa za kuongozea magari ziunganishwe na mifumo ya ‘Google maps’

    Huwa inashangaza sana katika zama hizi za kukua mno kwa teknolojia kukuta taa za barabarani zinaita upande usio na magari kabisa hata dakika 2, wakati huo huo upande mwingine wenye msururu mrefu wa magari ukiwa umezuiwa kwa taa nyekundu, huwa nacheka sana. Ninachojiuliza, kama simu yangu ya...
  17. C

    Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

    Au labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
  18. shebbyumeme mwembemagari

    Je, na umekuwa ukiipuzia taa ya tahadhali kwenye gari yako?

    JE? WEWE NI MIONGONI MWA WANAOZIPUUZA TAA YOYOTE YA TAHADHALI KWENYE GARI YAKO. ✓Taa ya tahadhali Ni aina ya taa inayowaka katika gari yako inayotumika kukupa taarifa ufanyaji kazi usiokiwa wa kawaida(mbaya) katika gari yako mapema ili uweze kuchukua hatua. Mfano wa taa hizo Ni Kama taa ya check...
  19. Paa

    Taa ya nyuma ya harrier g420 bei gani?

    Naulizia bei ya kile kitaa kidogo cha chini cha harrier upande wa nyuma Picha
  20. Mlenge

    Matrafiki Wanaongoza Magari Wakati Taa Zinafanya Kazi

    Matrafiki Wanaongoza Magari Wakati Taa Zinafanya Kazi Kwa wale wanaojiunga hivi punde na haya yanayojiri, ambao bado wanajiuliza kwani je vipi somo mbona trafiki kuongoza magari wakati taa za kuongozea magari zinafanya kazi? Hii hapa historia fupi. Miaka ileeee palizuka kelele nyingi kwa nini...
Back
Top Bottom