taa

  1. BigTall

    Matrafiki wa Mwenge ndio wanaosababisha foleni, bora waache taa ziongoze

    Kuna muda huwa sipendi kupita katika njia ya pale Mwenge kwenye Jiji letu la Dar es Salaam hasa majira ya jioni, maana wale trafiki wanaoongoza magari mitaa hiyo ni wazinguaji hasa. Kwa ufupi wao ndio wanaosababisha foleni iwe kubwa, bora wangeacha taa zifanye kazi, wanazingua sana. Ikifika...
  2. L

    Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China

    Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China, ili kusherehekea Sikukuu ya Spring
  3. Mohamed Said

    Duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere liliuza mafuta ya taa pekee au mafuta ya taa na Coca Cola?

    UBISHI MKUBWA: DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA LILIUZA MAFUTA YA TAA AU MAFUTA YA TAA NA COCA-COLA? Pamekuwa na ubishi mkubwa kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere katika moja ya mitandao ya kijamii kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere. Ubishi uko katika bidhaa...
  4. T

    Ujue 'Ghost Tree', mti unaowaka kama taa usiku

    Ghost Tree sterculia urens ni mti wa asili unaopatikana kwenye Tropical Rainforest, kwa Tanzania miti hii huonekana sana kwenye misitu ya Tao la Mashariki, inayoanzia milima ya Kipengere hadi Mlima Kilimanjaro. Mti huu wa ajabu ambao hamna aina ya nyani anaweza kuupanda huwa ni mrefu na...
  5. L

    Vijana wampongeza Rais Samia na Serikali yake kwa kuwasha taa ya matumaini katika mioyo yao

    Ndugu zangu , Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani ,mshikamano ushirikiano, upendo Wala utulivu ikiwa vijana wamekata Tamaa ya maisha,ikiwa vijana hawajuwi...
  6. L

    INAUZWA Nauza mashine ya kusafishia taa

    Nina mashine ya kusafishia taa (headlamp restoration), hii hutumika kusafishia taa za gari zenye ukungu. ~ Bei yake naiuza 110,000, discount ipo. ~ Napatikana Mabibo, Daresalaam. Mawasiliano: 0621846107 (call/text/WhatsApp)
  7. Diversity

    KWELI Mafuta ya taa, kitunguu na ndulele huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole (paronychia)

    Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza kutibu mdudu wa kidole. Ukweli ni upi?
  8. BARD AI

    Bunge laibana Serikali kuipa KADCO mkataba wa uendeshaji uwanja wa Ndege KIA badala ya TAA

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya haipo. Spika Dkt. Tulia amesema “Wanasema mkataba unamalizika Juni 2023 ni mkataba gani? wakati hiyo...
  9. BARD AI

    TCAA imetangaza nafasi 10 za mkopo wa mafunzo ya utengenezaji wa Ndege, angalia hapa jinsi ya kuomba

    Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
  10. L

    Kila Waziri aliyeteuliwa na Rais Samia ajiulize ataifanyia nini Wizara aliyopewa ili kuwasha taa ya matumaini kwa Watanzania

    Ndugu zangu Rais wa Marekani John F Kennedy amewahi kuwaambia Wamarekani kuwa wasijiulize Marekani itawafanyia Nini Bali Wajiulize Wataifanyia Nini Marekani, Nimeamua kuazima na kukopa maneno hayo kutoka kwa Rais huyo kutoa Rai na Ushauri wangu kwa waheshimiwa Mawaziri wetu walio teuliwa na Rais...
  11. S

    Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

    Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k) Leo nimepita katika huu mji na kukuta...
  12. M

    Nissan Xtrail taa ya check engine imewaka

    Hii ni Xtrail ya 2007/8. Taa ya check engine inawaka lakini gari inafanya kazi vizuri tu. Nimejaribu procedure za kui-reset lakini bado. Pia nilichomoa battery kwa sekunde chache lakini bado. Kuna jamaa yangu kaniambia yeye inawaka mwaka wa pili sasa na maisha yanaendelea kama kawaida. Kasema...
  13. Mohamed Said

    Uchaguzi wa TAA Arnautoglo Hall 1953

    Uchaguzi wa TAA Arnautoglo Hall 1953
  14. Webabu

    Trafiki pigeni marufuku hizi taa na angalieni honi

    Kaitka miaka hii michache nyuma maendeleo ya teknolojia yamepelekea kutengenezwa taa za vimuli vimuli kwenye magari ambazo nionavyo mimi ni hatari kwa maisha yetu. Nazungumzia zile taa za kuashiria kupinda au kusimama kwa vyombo vya moto. Taa hizi sasa zimekuwa zikitumika ovyo kiasi kwamba...
  15. kikiboxer

    Taa za kuongoza magari Moroco Ally Hassan Mwinyi road hazifanyi kazi siku ya 3 leo.

    Huwa napita hii barabara kila siku. Cha kushangaza leo ni siku ya tatu taa hazifanyi kazi tunaachiwa tujiongeze kwa kutumia akili zetu. Tanroads kama hamjapata taarifa ninawapa taarifa sijui kuna shida gani taa hazifanyi kazi na kuachia watu wajiongoze kwa kutumia akili zao na week end hii...
  16. Replica

    Taa zikisharuhusu magari yaende, dereva hatakiwi tena kusimama kwenye zebra. Mtembea kwa miguu asubiri taa yake

    Matumizi ya zebra kwa waendao kwa miguu maeneo yenye taa, yanaongozwa na taa za barabarani. Na hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 65(7)(b) na 65 (8). Jukumu la kuheshimu taa za barabarani ni la watumiaji wote wa barabara na sio magari tu. Hivyo basi, kwa mujibu wa kifungu cha 65 (7)(b) muenda...
  17. Mohamed Said

    Viongozi wa TAA na Malkia Elizabeth 1953

    TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953 Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia. Nimekuta nimemtaja Malkia Elizabeth sehemu kadhaa ndani ya kitabu kama mtawala wa Tanganyika. Tuanze na pale Julius...
  18. Mohamed Said

    TAA Gavana Edward Twining na Serikali ya Malkia Elizabeth, 1953

    TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953 Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia. Nimekuta nimemtaja Malkia Elizabeth sehemu kadhaa ndani ya kitabu kama mtawala wa Tanganyika. Tuanze na pale Julius...
  19. BARD AI

    EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, Petroli, Dizeli, Mafuta ya Taa yashuka

    Taarifa iliyotolewa leo Jumanne, Septemba 5, 2022 na Mkurungenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato bei za mafuta zimeonekana kupungua baada ya kupanda mfululizo kwa miezi mitano kuanzia Aprili mwaka huu. Hadi leo katika mkoa wa Dar es Salaam bei ya petroli inaonesha inauzwa kwa Sh3, 410 kwa lita...
  20. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

    Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa. Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Back
Top Bottom