Habari,
Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili?
Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
Wadau salama leko
Kichwa kinaeleza hapo juu. Kuna malori baadhi yana taa za rangi rangi kama balbu za chumbani kuanzia mbele ya gari nyuma pembeni kushoto kulia juu chini ya gari kuna wengine wanaweka taa mpaka karibu na tairi kwenye yale madude kama makapeti yanayoning'inia karibu na...
DOME OKOCHI BUDOHI MZALENDO KUTOKA KENYA ALIYEPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Naamini umeona hiyo video ya ufunguzi wa kumbi 12 zinazohifadhi historia ya Wakenya katika kupigania uhuru wa nchi yao.
Video hii imenitia hamu ya kumweleza Dome Okochi Budohi.
Sijui kama katika kumbi hizo kuna historia...
Wajameni Hisense yangu haileti picha na ina miaka 2 tu tangia ni nunue
Bila shaka hii burand ya Hisense ni Chupli Chupli au kuharibika kwa kawaida tu huku ? Wajameni wadau wa Tech
Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto nchini humo
Shirika la Utangazaji la Umma la Japani NHK limeripoti kuwa watu 46 jijini Tokyo...
Hakuna sababu kwanini mtu apate ajali au tairi ivimbe au ‘Rim’ ipinde au tairi lichanike au mafutayaende kwa wingi kisa tu presha ya upepo kwenye tairi ilikuwa ndogo.
Napendekeza kifungwe kufuniko cha valve ya tairi chenye ‘bluetooth’ ndani yake, ambapo tairi likipungia upepo tu, sensa ndani ya...
Toyota Crown ya 2004 kila ulikitembea km 37-40 hizo taa zinawaka kwa pamoja ikianza na taa ya check engine halafu ndani ya sekunde chache zinawaka hizo zingine kwa pamoja. Ukizima gari na kuliwasha tena tatizo linapoteza, ukitembea tena km 37 taa zinawaka.
Gari bado lina nguvu na kila kitu kipo...
Wadau wa magari, naomba remarks Zenu kuhusu ili, Ninafsi naona taa zinazotoa mwanga mweupe zikikutana na taa za mwanga wa yellow maona nyeipe zinafunikwa ....
Bila kuficha wala kuogopa, kwamba Rais Magufuli alifanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na uongozi bora na alikuwa akitupeleka kwenye hali mbaya sana kama taifa la Tanzania. Alikuwa na kauli za kinafiki na hata kuamuru taasisi za serikali kubambikia watu kesi. Kuna mengi sana ambayo yote...
Malalamiko yashaanza, kumbuka mechi ya kwanza team kipenzi ya makanjanja wa Bongo iiitwayo RS Berkane ilipigwa 2-1 hadi sasa haijajulikana kama makanjanja ya Morocco yameishupalia issue hii na kusema kwamba team yao ya nyumbani inatumia Dirty tricks kwa kufanya interviews na Tv za Misri au la...
Katika kipindi cha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi, maonesho ya taa yamefanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa.
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, maonesho ya taa kusherehekea michezo hiyo katika mitaa ya biashara mjini Beijing yanaonekana vizuri kutoka umbali wa kilomita 10.
MALKIA ELIZABETH NA VIONGOZI WA TAA 1953
Picha hiyo hapo chini ya Mwalimu Nyerere na Malkia Elizabeth imenirudisha nyuma sana hadi mwaka wa 1953.
Nimeitazama hiyo picha ya viongozi awa wawili nikaamua kufungua kitabu cha Abdul Sykes niangalie nimeandika nini kuhusu Mwalimu Nyerere na Malkia...
Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana kama The Bird's Nest, ambayo yaling’ara sana.
Ni dhahili serikali hii haijui mahitaji ya wananchi na haina vipaumbele. WM amewaagiza Tarura waweke taa mpaka vijijini. Hivi ni kweli sisi watu wa vijijini tunahitaji taa za barabarani? Hii ni kejeli kubwa sana.
Sisi vijijini tunahitaji madawa na vifaa tiba, tunahitaji maji na umeme wa...
Nimepata bahati ya kuingia katika Jiji la Mwanza usiku wa Jana kiukweli mji ni mzuri Sana Cha kunishangaza nimepokelewa na Giza Totoro Sasa najiuliza hivi mamlaka husika hazioni hili tatizo?
Nimeongea na wenyeji wangu wadai wamezoea Giza maana Kama taa zote zinatumia mfumo wa umeme jua kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.