Kwa sasa kampuni za Mawasiliano ya Simu ikiwemo Optus zitatakiwa kushirikiana na Taasisi za Fedha na Serikali ili kuchunguza na kupunguza hatari ya matukio ya Usalama wa Mtandao, Udanganyifu, Ulaghai na Matishio mengine ya Kimtandao.
Uamuzi huo wa Serikali unalenga kuwalinda Wateja waliokutwa...
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ukusanyaji Taarifa Binafsi za Mamilioni ya Wananchi unaohusisha Mifumo ya Biometriki umekuwa ukiongezeka kwa kasi Barani Afrika.
Mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania yamekuwa yakitumia Mifumo hiyo inayohusisha Alama za Vidole katika Utoaji wa Huduma kama usajili...
Kibano dhidi ya kampuni au shirika linalofanya makosa ya ufichuaji wa taarifa binafsi, ikiwamo kuuza taarifa sasa kinanukia baada ya serikali kupendekeza bungeni kutungwa sheria itakayokuwa na adhabu ya faini isiyopungua Sh. milioni moja na isiyozidi Sh. bilioni tano.
Ikiwa ni mtu binafsi...
NAFASI YA WATUNGA SERA:
1) Kujenga uelewa kwa Umma juu ya Haki ya Faragha na Ulinzi Wa Taarifa
2) Kushirikiana kwa karibu na Wadau wengine kuhusu Masuala ya Kulinda Taarifa
3) Kutengeneza Mifumo ya Kulinda Taarifa kulingana na Sheria na Viwango vya Kimataifa vya Haki Za Binadamu
ASASI ZA...
Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu.
Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha...
Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
digital rights
dola
faini
google
kinyume na sheria
korea
korea kusini
kukusanya
kusini
kuuza
matangazo
meta
milioni
right to privacy
taarifataarifabinafsi
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia amethibitisha kuwa Serikali inakamilisha mchakato wa utungwaji wa Sheria hiyo itakayolinda taarifa binafsi za watu.
Kauli ya Nape inakuja wakati kukiwa na madai mengi ya sheria hiyo kutoka kwa watu binafsi na taasisi ikiwemo JamiiForums ambayo imekuwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums Maxence Melo akiwa East Africa Radio asubuhi hii, 30 Agosti, 2022.
===
Amesema kuwa JamiiForums imeandaa muswada wa mfano ambao imeupeleka Serikalini pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria ili kutoa mapendekezo ya nini kifanyike katika kuhakikisha kuwa taarifa...
Wakati zoezi la Sensa ya Watu na Makazi likiendelea, ni vema kukumbushana kuwa Faragha ya Mtanzania yeyote, akiwemo Karani wa Sensa, ni kitu muhimu sana katika nyakati hizi
Picha na Video za Makarani zimekuwa zikisambazwa mitandaoni hivyo, tungependa kuukumbusha umma kuwa suala la faragha na...
Wakuu.
Awali ya yote nitoe pongezi kwa kila Raia wa nchi hii aliye bahatika kuhesabiwa. Wengine hatukupata bahati ya kufikiwa siku ya jana, natumani kwa muda muafaka, tutapata pia fursa hii ya kuingia kwenye rekodi ya takwimu muhimu za wakazi wa nchi hii.
Baada ya kutoa pongezi hili naomba...
Serikali ya India imeondoa Muswada wa ulinzi wa data na faragha wa 2019 unaotajwa kuipa Serikali Mamlaka ya kuuliza Kampuni kutoa taarifa binasfi za Wateja wa Kampuni za Teknolojia ili kusaidia kutunga Sera, kinyume na Sera za Kampuni hizo
Serikali imesema hatua hiyo ni baada ya mapitio ya...
Salaam Wakuu,
Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini:
Picha> USB Cables za aina mbalimbali
Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
Taarifa Binafsi ni maelezo fulani ambayo yanamtambulisha mtu, au kueleza jambo fulani kuhusu maisha yake.
Taarifa Binafsi huweza kuwa majina ya mtu, namba ya simu, mwaka na tarehe ya kuzaliwa, dini, kabila, mahali anapoishi na mengineyo yanayombainisha mtu fulani.
Aidha, vifungashio...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu
Ameelekeza hayo katika uzinduzi wa Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA) leo...
Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa.
Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
Akizungumza kwenye kipindi cha Clouds 360 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ni ya msingi katika Tanzania ya kidijitali, ili watu wajiamini na kuwa huru
Haki hii ya Faragha ipo kwa mujibu wa Ibara ya 16 ya Katiba ya Jamhuri ya...
Januari 28 ni Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi, ikiwa ni jitihada za kimataifa kujenga ufahamu kuhusu umuhimu wa kuheshimu Faragha
Ulinzi wa Faragha ya Taarifa binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu kwa mujibu wa Ibara ya 12 ya Tamko la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa la Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.