Itoshe kusema Kimya kina mshindo.
Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana..
Vipi?
Ni kishindo cha Makonda?
Au ni mipango tu?
Ni ukata wa fedha au pumzi?
Hoja, dira na uelekeo ni kiza kinene?
Hamuelewani? Hamuaminiani ?
Mnavurugana na kugawanyika?
Wafuasi wanauliza...