Uchunguzi nilioufanya, wanafunzi wengi kutoka familia masikini wamekosa kwenda shule (University-kuanza orientation/masomo) kwa vile wanasubiri kama watapata mikopo toka HESLB.
Rais Samia/Waziri Mkenda ingilia kati watoto wajue kama wamepata mikopo au hapana wapange what next .........
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kujadili taarifa ya hatua zilizofikiwa za utekelezaji wa maelekezo ya Spika wa Bunge kuhusu Malalamiko ya wakulima juu ya Matrekta ya URSUS kutoka Nchini Poland.
Taarifa hiyo imewasilishwa na Waziri wa Viwanda na...
Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu.
Update: Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto'...
Katika nyaraka zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Shirikisho ya Seattle zinadai Costco Shoppers inatumia Meta Pixel kwenye eneo la Huduma za Afya katika tovuti yake bila wateja kujua au kuridhia.
Meta Pixel ni nyenzo ya Uchanganuzi inayoruhusu tovuti kufuatilia shughuli za wanaotembelea...
Babkubwa la magaidi Iran linaonekana halikua na taarifa za HAMAS, bado uchunguzi unaendelea kufanyika huku Israel ikiendelea kusambaratisha kila kitu, wakimbizi wamefika 250,000 hadi sasa wamekusanyika wanategemea chakula cha wazungu (UN)
===========
WASHINGTON, Oct 11 (Reuters) - Iran likely...
Ofisi ya Kamishna wa Taarifa huko Uingereza ametahadharisha kuwa Matumizi mabaya ya ‘BCC - Blind Carbon Copy’ katika utumaji wa barua pepe ni miongoni mwa sababu kubwa za Uvujaji wa Taarifa katika Sekta mbalimbali
BCC - Blind Carbon Copy (Nakala ya Kaboni isiyoonekana) ni kitufe...
Katika siku za karibuni tulipewa taarifa na Mamlaka ya Hewa kuwa kutakuwa na mvua ya el Nino na hivyo wananchi wachukue tahadhari zote kuhusiana na mvua hizi. Walitutahadharisha kuwa mvua hizi zingeanza mwanzoni mwa Oktoba mwaka huu. Leo ni tarehe 8 Oktoba, 2023 na kuna joto kali sana na...
Inasema.....
Tanzania ya pili kuingiza Watalii duniani.
Iko Ukurasa wa Tatu ( 3 )
Na GENTAMYCINE naomba ikithibitika kuwa si kweli basi upesi sana Mhariri wa Gazeti hili la Habari Leo na Mwandishi wa Habari hiyo anbayo nina uhakika ni ya UONGO watuombe Radhi na ikiwezekana wapangiwe Majukumu...
Naomba msaada wa kuujua mji wa Mafinga.
Mimi ni kijana nahitaji kwenda kuanzisha maisha mji wa Mafinga. Nina ujuzi wa ICT, kilimo cha mboga mboga n.k, mtaji ni milion 6.
1. Historia yake.
2. Makabila yake, mila na desturi.
3. Huduma za kijamii.
4. Uchumi kwa ujumla.
Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze.
Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
Una hofu ya usalama katika ushahidi? Huna sababu tena ya kujenga wasiwasi baada ya Serikali kuweka wazi mwongozo wa kuwajali na kuwalinda mashahidi kabla na baada ya kutoa ushahidi mahakamani.
Kwa sasa mtoa taarifa aliyejitambulisha kutoa ushirikiano, atahakikishiwa kutunziwa siri ya taarifa...
Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za Wateja ili kudai Madeni .
Pia, kuna Klabu ya Starehe ya Casa Vera Lounge ambayo imekutwa na Kosa...
1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL, na mshindani wa TTCL.
2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa inaleta bilioni 1.8+ kwa ajili ya network operations and maintenance, kazi inayosimamiwa na Head of...
Kuna taarifa za mtoto kudanganya au kuibiwa matokeo ya kidato cha nne zinasambaa mitandaoni
Serikali imejibu malalamiko kwa press tatu hadi sasa lakini kati ya wote walioripoti hakuna mtumishi wa umma au wizara iliyokiri kuhojiana na mwanafunzi anayelalamika. Means wizara zetu m halmashauri...
Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
baada
kidato
kusambaza
masomo
mtu
mtu mwingine
mwanafunzi
mwingine
nafasi
nyerere
serikali
sifa
taarifa
tamisemi
ufafanuzi
uongo
waziri
yericko nyerere
Waandishi wa habari mara nyingi huandika matukio ya kisiasa na matendo ya wanasiasa, na wanasiasa hutegemea utangazaji wa vyombo vya habari kuwasiliana na umma. Hata hivyo, kudumisha tofauti ya wazi ya majukumu ya waandishi wa habari ni muhimu kwa utendaji wa demokrasia yenye afya, ambapo...
Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote...
Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.