Kama una jambo, au mada ambayo haina mashiko, kwanini uilete JamiiForums?
Wote tuna jukumu moja, kuifanya JamiiForums kuwa ni kisima cha maarifa.
Hutuhitaji @Brianica tena, tuna uwezo wa kuifanya JF kuwa zaidi ya tuwazavyo, iwapo tu tutaamua kuto post upumbavu.
JamiiForums ijayo inafurahisha...