Wadau hamjamboni nyote?
Kwa furaha kubwa nawajulisha kuanza Kwa makambi hapa Kanisa la Waadvetista Wasabato salasala
Nyote mnakaribishwa sana
Vipindi vizuri vyenye kutoa elimu zote za kiroho na kidunia pia
Kwaya za kutosha zitahudumu
Usipange kukosa mtu wa Mungu
Mtaarifu mwenzako
Mungu...
Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 .
Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto.
Tukio limetokea huko Dodoma
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nimepewa Taarifa na washikaji zangu hapo Dar es salaam ya kwamba kuna watu (Mwanamke 1 & Wanaume 2) wananitafuta!
Nikiwa Niko hapa Mbeya takribani miezi miwili Sasa nikiwa kwenye shughuli zangu nyingine,nilipigiwa simu na jamaa zangu wawili Kwa nyakati...
Habari wapendwa, kuna taarifa inatembea mitandaoni kuwa Dkt. Slaa amepata taarifa ya Deusdedit Soka ya kwamba atauawa leo na kutupwa msituni, je, Taarifa hiyo ni kweli imetoka kwa slaa? Na ina ukweli?
Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa ujenzi unaoendelea ya barabara ya lami hapa Mtaa wa Mwananchi Kata ya Mahina. Mkandarasi JASCO anatakiwa kujenga madaraja madogo yanayoingia kwenye makazi ya wenye nyumba kando kando ya barabara hiyo. Baadhi ya madaraja hayo amekwishayakamilisha na...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga.
Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia tarehe 26 Agosti 2024...
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetoa taarifa kwa Umma juu ya shughuli za utalii katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwamba zinaendelea vizuri pamoja na uwepo wa baadhi ya wananchi wanaoishi katika hifadhi hiyo kuandamana leo tarehe 18.08.2024.
NCAA katika taarifa yao hiyo, imesema...
Chama kimoja cha siasa (sina uhakika kama vingine navyo vinafanya hivi) kinaandikisha wanachama kwa kutumia kitambulisho cha NIDA.Je Chama hiki kitakuwa na uwezo wa kufikia taarifa binafsi za mwanachama?Nini faida na hasara zake?
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku!
Aksanteni sana
Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.
Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania.
Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye...
Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote.
Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo...
Habari!
Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.
Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.
Kuna ugumu gani...
Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee….
Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea.
Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta
Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa
Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote...
Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
Rais Samia, kwanza nashukuru umemuondoa Nape Nnauye kwasababu TCRA na Tume ya Ulinzi wa Taaifa Binfsi(PDPC), ni taasisi zilikuwa chini yake na mpaka anaondoka, hatuijaona hizi taasisi zikiwa serious katika kuchukua hatua(sijaona wala kusika waliokamatwa kwa kudhalilisha watanzania).
Naomba...
Tumia kanuni ya kuwanyima watu taarifa zako .
Wasijue upo wapi
Wasijue unafanya nini
Wasijue Kazi yako
Wasijue biashara zako wala kazi zako.
Wasijue mipango yako
Hii -ndo njia bora ya kuwa safe wewe dili na watu ambao mnafanya wote maisha .
Hakikisha unakuwa na sura mbili
Hakuna kitu...
Online Media (tv na radio) ni nyingi sana humu mitandaoni.
Watu wanapata taarifa mbalimbali kwa haraka kupitia vyombo hivi kuliko Redio na Television za kawaida. Instagram na YouTube ndio mitandao inayotumika kupata habari na taarifa nyingi za vyombo vingi vya habari. Lakini Kuna social media...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.